Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Useme ukweli tu kwamba HAUNA HISIA naye za kimapenzi sio una mheshimu maana ata Wanawake walioolewa wanaheshimu waume zao
 
Ni upumbavu yani mtu asipoiheshimu nyumba ako mtimue.
Haiwezekan litoke huko na nyege zake ety lizilete kwangu fukuza kabisa.
Tena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
 
Tena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
Umeona ee!
Yaani wanatakaga kugeuza wenzao uwanja wa mazoezi...mechi wanacheza kwingine.🀣🀣
Unamfurusha kama mwizi
 
Nini wewe legea watu wapige kipapa hicho.
 
Nilichopewa si sanamu la Michelin kwamba kila mtu atataka aone linafanana vip.
Ni kweli, liliumbwa kwa ajili ya someone special sema nyege ndo zinaharibu mpango wa Mungu.
By the way sio uungwana na sio uanaume kwenda kufanya mavitu kwenye nyumba ya mwanamke, kama unampenda unamuambia unamualika ghettoni kwako, Kwa suala hili wanawake waliosimamia wako sahihi.
 
Sio wanaume tu hata wanawake mnachukia tena mwanamke anachukua vibaya ukigoma kumkaza yaan anafura kwanin umemgomea ishanikuta mara nyingi hii,
 
Wanawake wa kiafrika bana... dahh! Complication nyingiiiiiii!.... kujishaua kwingiiiiiii!... mnajifanyaga mnajielewa kinyama kumbe mapopoma tu πŸ˜‚

Angekuwa mtoto wa kitasha hapo... fasta mshakulana na urafiki unaendelea ila mkiwashwa mnakunana kama kawa! Rudi kwa hawa mazwazwa sasa ndo yanakimbiliaga huku kumwaga mchele


Mxiiiieeeeew! πŸ˜’πŸ˜£πŸ˜
 
Hata bongo wa hivyo wapo.
Wanaitwa cha wote au changu doa...
Unaweza tu kuwafuata.
But once it comes to friendship, rules & laws shall be applied!
 
Umesema vzuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…