Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
.......Ohooo!! mbona unatangazia umma tena!, haya hayazungumzwi sebuleni namna hii....tuatazungumza chumbani badae, unataka nifeli kabla hata ya kuanza.....😂😂😂Enhee tunaonana lini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......Ohooo!! mbona unatangazia umma tena!, haya hayazungumzwi sebuleni namna hii....tuatazungumza chumbani badae, unataka nifeli kabla hata ya kuanza.....😂😂😂Enhee tunaonana lini!!
Kumbe kuingia na mtu kwenye mahusiano unakua humheshimuUnakuta ni mtu unayemheshimu.
Na ujue kukubali huo ndio mwanzo wa kuendelea...
😂😂😂Na chumba kimefungwa hapo sasa, nasubiri miujiza.......Ohooo!! mbona unatangazia umma tena!, haya hayazungumzwi sebuleni namna hii....tuatazungumza chumbani badae, unataka nifeli kabla hata ya kuanza.....
Kwanza ili uwe clean kataa keep-change....Kuna mteja wangu alikuwa kila akija kwenye biashara yangu alikuwa ana acha chenchi hachukui heee siku ana nambia anataka mbusus nilimpa za mbavu mpaka sasa haji ila sijali hata kama nimepoteza mteja🤨
Mkuu huyu alikuwa mteja nianze kumwambia sitaki mtongozo hali ya kuwa hakumtamka kwa kipindi hicho siku alipo nambia nilimwambia haiwezekani akachukia.Kwanza ili uwe clean kataa keep-change
Pili ni kweli jinsia yetu hasa tulio rijali tunaugua ngonona tiba mnayo lakini mnabana hadi tunakosa mwelekeo.
Unapomuona mwanamume kamili jua anaumwa ngono. Unatakiwa kumpa dawa atulie maana bila hivyo atatumia dawa yeyote atulize mzuka
Jambo la tatu.
Unapokuwa na urafiki na mwanaume rijali eleza wazi pale mwanzoni kuwa kuchakatana siyo lengo la urafiki wenu. Ukipiga kimya hilo ni jibu la YES kuwa tupo same page.
Best nielekeze dukani kwako nizibe pengo la mteja uliyempoteza
Hata nafsi yako inajua umeongea siyo kweli......Kuhusu kupoteza mteja nimepata wengine mkuu😀😀
.......nina imani utanifungulia tu hata badae especially usiku coz hapa najua unaona aibu watoto ndo kwanza wanaamka......😂😂😂Na chumba kimefungwa hapo sasa, nasubiri miujiza
Wana maneno ya shombo hao. Dawa yao moja tuu...kuwafumua marindaWakati mnaanza urafiki ulikuwa unaita Gari
Baada ya kula hela zake akadai naniliu unaita KAGARI.
Wanawake dah.
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Ee bwana tenda miujiza, 🤣🤣.......nina imani utanifungulia tu hata badae especially usiku coz hapa najua unaona aibu watoto ndo kwanza wanaamka......
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Very selfish creatures hawa. Wanajiangalia wao tuu.Ukitaka urafiki usiombe vyake, tatizo lenu nyie viumbe mnataka tu kusaidiwa. Huyo rafiki yako wa kiume akilia shida kwako hata umuazime sio kumpa 10k tu, unatoka na vikauli kua huwezi mpa hela mwanaume.
Haya hela huwezi mpa basi mpe hicho kisicho chenye una uwezo nacho bado unabana.
Ukila lazima uliwe.
Ila chenji zake ulichukua..!!!Kwani mtoa mada kala nauli au hata akila walikubaliana malipo ni mbususu yaani jinsia yenu ina ulevi mbaya wa ngono kila mwanamke akiwa karibu mnataka awavulie nguo nadhani mna kaugonjwa si bure.
Kuna mteja wangu alikuwa kila akija kwenye biashara yangu alikuwa ana acha chenchi hachukui heee siku ana nambia anataka mbusus nilimpa za mbavu mpaka sasa haji ila sijali hata kama nimepoteza mteja🤨
Wakati zipo za kumwaga yaani wanataka zile maisha za zamani mtu anafatilia mzigo muda mrefu kama anaomba Tenda ya kutengeneza bara bara ya Namtumbo...Sasa kama mtu wako unataka genye azipeleke wapi?
Ttz nyie wanawake wa kibongo sex mnaigeuza deal
Ova
Na sio kila wallet lazima uombe hela, nyengine ziwapite.Sio kila mbususu lazima muichungulie zingine ziwapite aisee
Ninae kama huyo nishamkacha na vishida vyake simsaidii tena, tena mimi siombi kila siku, nachovyachovya mara mojamoja tu.Very selfish creatures hawa. Wanajiangalia wao tuu.
.......ok thanks nawe pia, ila huyo mwamba kaenda chimbo kujikoki, ngoja arudi sasa akiwa ameshakuchagulia kabisa na nchi ya kuvisit.....Ee bwana tenda miujiza, 🤣🤣
Uwe na jmosi njema mmeshindwa kunishawishi niufungue mlango na rafiki yako Nelson Jacob lushasi