Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

.......Ohooo!! mbona unatangazia umma tena!, haya hayazungumzwi sebuleni namna hii....tuatazungumza chumbani badae, unataka nifeli kabla hata ya kuanza.....
😂😂😂Na chumba kimefungwa hapo sasa, nasubiri miujiza
 
....Kuna mteja wangu alikuwa kila akija kwenye biashara yangu alikuwa ana acha chenchi hachukui heee siku ana nambia anataka mbusus nilimpa za mbavu mpaka sasa haji ila sijali hata kama nimepoteza mteja🤨
Kwanza ili uwe clean kataa keep-change
Pili ni kweli jinsia yetu hasa tulio rijali tunaugua ngonona tiba mnayo lakini mnabana hadi tunakosa mwelekeo.

Unapomuona mwanamume kamili jua anaumwa ngono. Unatakiwa kumpa dawa atulie maana bila hivyo atatumia dawa yeyote atulize mzuka

Jambo la tatu.
Unapokuwa na urafiki na mwanaume rijali eleza wazi pale mwanzoni kuwa kuchakatana siyo lengo la urafiki wenu. Ukipiga kimya hilo ni jibu la YES kuwa tupo same page.

Best nielekeze dukani kwako nizibe pengo la mteja uliyempoteza
 
Mkuu huyu alikuwa mteja nianze kumwambia sitaki mtongozo hali ya kuwa hakumtamka kwa kipindi hicho siku alipo nambia nilimwambia haiwezekani akachukia.

Kuhusu kupoteza mteja nimepata wengine mkuu😀😀
 
.....Kuhusu kupoteza mteja nimepata wengine mkuu😀😀
Hata nafsi yako inajua umeongea siyo kweli.

Yaani unapokea keepchange ili kuthibitisha kuna free meal?

Kwa hiyo, huyo mteja mwingine alikuwa standby anasubiri kuwa replaced?🤣

Nielekeze bana, hata kama unauza magunia ntanunua nikashone pazia
 
Ukitaka urafiki usiombe vyake, tatizo lenu nyie viumbe mnataka tu kusaidiwa. Huyo rafiki yako wa kiume akilia shida kwako hata umuazime sio kumpa 10k tu, unatoka na vikauli kua huwezi mpa hela mwanaume.

Haya hela huwezi mpa basi mpe hicho chenye una uwezo nacho bado unabana.

Ukila lazima uliwe.
 
Mimi fundi wa magari ntapiga story gani na mtoto mzuri zaidi ya kwenda The Pillars baada ya hapo ni kula mzigo...yaani kwangu unataka kuleta story na kwingine utoe mzigo kirahisi basi nenda kapige story na huyo anaekula mzigo...sasa unakuja kulalamika unataka story tuu za movie au mpira?
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.

Yaani vyangu ule ila vya
kwao hutaki viliwe.

Wallet yangu iwe wazi kwako ila kipochi Chako manyoya hutaki kukifungua.

#YNWA
 
Ukitaka urafiki usiombe vyake, tatizo lenu nyie viumbe mnataka tu kusaidiwa. Huyo rafiki yako wa kiume akilia shida kwako hata umuazime sio kumpa 10k tu, unatoka na vikauli kua huwezi mpa hela mwanaume.

Haya hela huwezi mpa basi mpe hicho kisicho chenye una uwezo nacho bado unabana.

Ukila lazima uliwe.
Very selfish creatures hawa. Wanajiangalia wao tuu.
 
Kwani mtoa mada kala nauli au hata akila walikubaliana malipo ni mbususu yaani jinsia yenu ina ulevi mbaya wa ngono kila mwanamke akiwa karibu mnataka awavulie nguo nadhani mna kaugonjwa si bure.
Kuna mteja wangu alikuwa kila akija kwenye biashara yangu alikuwa ana acha chenchi hachukui heee siku ana nambia anataka mbusus nilimpa za mbavu mpaka sasa haji ila sijali hata kama nimepoteza mteja🤨
Ila chenji zake ulichukua..!!!

#YNWA
 
Very selfish creatures hawa. Wanajiangalia wao tuu.
Ninae kama huyo nishamkacha na vishida vyake simsaidii tena, tena mimi siombi kila siku, nachovyachovya mara mojamoja tu.
Ila yeye anapata guatantee ya lifetime support bado hataki kutoa eti mimi ndo niwe punda wake tu.
Shubamiit tupa kule, asaidiwe na wazazi wake.
 
Back
Top Bottom