Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Katika vitu sijawahi kufanya ni kuomba pesa kwa mtu kwanza nina bahati ya kupewa kabla sijaomba namshukuru Mungu kwa bahati hii aliyonipatia
Sio bahati... we ni mrembo na umbo umejaaliwa ndo mana vidume vinapapatika vyenyewe. Vinakunjuka bila kuombwa kuonesha wazi anatengeneza njia mapema kwa kutumia kilainishi chenu pendwa kina Mama #CHAMBI a.k.a #FUBA
 
Yaani mimi mwanaume nikimuelewa wala haitaji nguvu nyingi tena ukiingiza pesa nakula nasepaa kabla hakijatokea chochote.
 
Kuna mmoja nimemtimua juzi, mara ya 2 hii hataki kuliwa sasa sijui anakuja home kufanya nini? Na yeye ndo huwa anauliza vip upo, utakuwepo then anajileta.
Maajabu yake kaondoka bado anapiga simu kila muda sijui anataka tudiscuss nini?
Ghetto lako kali kamanda... Airfresh kali ukikaa nusu saa ukitoka nje mpaka na wewe mwenyewe unanukia.

wana Shida, njaa na ni washamba sana hawa viumbe πŸ˜…

Huenda anakujaga kushangaa fenicha za GSM na ile interior design kali ya apartment yako.
 
So hujawahi kumvulia nguo mwanaume maishani mwako? Km umewahi mbona unajikosha humu ndani?
Nimewahi mkuu ila wale wanao kuja kwa kitu ili wapate kitu hawa waliishia kulalamika kama wewe.
Halafu mbona umechukia kiasi hiki relax mkuu πŸ˜€
 
Back
Top Bottom