Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Kamanda kumbe na wewe umo eeh?! πππΎKuna zawadi yako ipo inbox tayari bby.Mimi tena pedeshee wa misimu ya mvua.πππ€£π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda kumbe na wewe umo eeh?! πππΎKuna zawadi yako ipo inbox tayari bby.Mimi tena pedeshee wa misimu ya mvua.πππ€£π€£
Mrembo Ulishindwa kumkazia sura kwamba huzihitaji.., aende akatoe sadaka huko... ?!Alikuwa akiziacha nikimrudishia hataki π€·πΌββοΈππ
Mtani wangu yule ππ€£π€£π€£π€£Nothng seriously Mkuu.Kamanda kumbe na wewe umo eeh?! πππΎ
Nilimkazia ndugu tena kwa kumwambia kama una acha pesa zako kwa kutegemea kupata kitu kamwe haitatokea.Mrembo Ulishindwa kumkazia sura kwamba huzihitaji.., aende akatoe sadaka huko... ?!
We nae uliyataka π ππΎ
#NoFreeLunch
Sio bahati... we ni mrembo na umbo umejaaliwa ndo mana vidume vinapapatika vyenyewe. Vinakunjuka bila kuombwa kuonesha wazi anatengeneza njia mapema kwa kutumia kilainishi chenu pendwa kina Mama #CHAMBI a.k.a #FUBAKatika vitu sijawahi kufanya ni kuomba pesa kwa mtu kwanza nina bahati ya kupewa kabla sijaomba namshukuru Mungu kwa bahati hii aliyonipatia
Nakubali CDF niliyekupitisha bila kupingwa hapa JF... πͺπΌππΎMtani wangu yule ππ€£π€£π€£π€£Nothng seriously Mkuu.
Hujakutana na wahuni bado wewe! Ndio utajua maana ya msemo aisifuye mvua imemnyeaWenzio nao walikuwa kama wewe pesa nilichukua kwa kuwa sikuziomba shobo zao wenyewe wakanipa vimikwara vyao mbuzi mpaka leo tukionana heshima
Yaani mimi mwanaume nikimuelewa wala haitaji nguvu nyingi tena ukiingiza pesa nakula nasepaa kabla hakijatokea chochote.Sio bahati... we ni mrembo na umbo umejaaliwa ndo mana vidume vinapapatika vyenyewe. Vinakunjuka bila kuombwa kuonesha wazi anatengeneza njia mapema kwa kutumia kilainishi chenu pendwa kina Mama #CHAMBI a.k.a #FUBA
Uhuni upi unao zungumzia wewe maana kama watata nimekutana nao na nikawatoa nduki harafu sio kila Mwanamke dhaifu kama unavyo fikiliaHujakutana na wahuni bado wewe! Ndio utajua maana ya msemo aisifuye mvua imemnyea
Ghetto lako kali kamanda... Airfresh kali ukikaa nusu saa ukitoka nje mpaka na wewe mwenyewe unanukia.Kuna mmoja nimemtimua juzi, mara ya 2 hii hataki kuliwa sasa sijui anakuja home kufanya nini? Na yeye ndo huwa anauliza vip upo, utakuwepo then anajileta.
Maajabu yake kaondoka bado anapiga simu kila muda sijui anataka tudiscuss nini?
So hujawahi kumvulia nguo mwanaume maishani mwako? Km umewahi mbona unajikosha humu ndani?Uhuni upi unao zungumzia wewe maana kama watata nimekutana nao na nikawatoa nduki harafu sio kila Mwanamke dhaifu kama unavyo fikilia
Nimewahi mkuu ila wale wanao kuja kwa kitu ili wapate kitu hawa waliishia kulalamika kama wewe.So hujawahi kumvulia nguo mwanaume maishani mwako? Km umewahi mbona unajikosha humu ndani?
We unaonaje?Kwani ungempa ungepungukiwa nini??angeimaliza??
πππTusifike huku , na mimi nitakutembelea
πππ Kabisa.Hahahahha aende na liboro lake lilale mbele ya safari.
Ipake rangiRoho mbaya
Pumbavu sana,Yaani unafukuza mtu aliyekutoa Kwenye ubavu wake
πππIla wewe una maneno π
Pesa zake ni mambo yake binafsi siwez fuatilia.Sitaki kuamini kama Karne hii Kuna wanawake wa hivi....
Au jamaa alikua hana kibundaa ninii