Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Hasusi hio ndio kitu roho inapenda
Nazungumzia mwanamke akilalia tumbo alafu mguu mmoja anaukunja alafu dizain kama analalia ubavu kimtindo.

Hiyo ndio inaitwa mke kakususia asee Kazi unaiona hii hapa inakuzomea 😂.

Kum@ tamu nyie
 
Umrokota likunguru ukslipenda na kulifuga, KUNGUTU HAFUGIKI.

Pia, sijasoma popote kuwa umewahi kumzabua makogi ya kibabe.
Ndoa si kwa mwanaume legelege
 
Kwa mtazamo wangu na pia huko juu mabro ameshachangia mwanamke akishakufananisha na wanaume wengine tena wale waliokuwa nao huko zamani usifikiri kama una haja ya kuendelea kuishi naye labda moyo wako utakwambia nini cha kufanya
 
Nirifikiri ni Mimi tu yananikuta haya,
Nimeishaambiwa, bahili, Nina roho mbaya, richa ya kuokoa wadogo zake kutoka kijijini, nikawasomesha, sasa hv wana kqzi na wameolewa, nimewanunulia, mpaka viwanja huko kwao, Ila nikaitwa bahili, mchoyo, roho mbaya,! Ugomvi kidogo, nasepa zangu Mimi,
Nasubili Dogo wa, mwisho, aende bording,mjengo wangu Dom napangisha, naamia Arusha kwenye kajumba kangu,watoto wakifunga, A town, nione kama atanifata, asipokuja, good n well, na tafuta kitoto cha ki Arusha, nipumzike,
Wanawake hawa, mtu pesa, IPO, lakini wanakuletea drama hata bia unashindwa kunywa! Ukiwaza, huyu bitch anaweza akasepa akatelekeza watoto na wewe upo mbali
 
Mkome MKOMAEE☺️ sababu mlipenda kuangalia uzuri wa nje badala umuombe Mungu akuletee mke mwema nyie mnahangaika kama ☺️☺️☺️☺️
Ndoa za siku hizi unaingia kwa pupa zako alfu bdaee unatamani kuwa bachelor tena

Pi ukishaingia ndoani..vita ni vita muraa..
Lazima kuomba kimkakati
Shetani Mshenzi mno., asipokuondoa ndoani, ataweka mazingira ndoa inakuwa chungu..mtu hafurahii ndoa mpaka siku ya kufa.., atachezea watoto wako, atachezea uchumi wenu..atawavuruga msione njia kabisa..sasa kazi kwenu
 
Kazi kweli kweli
 
kumbe umewowaaaaa,,npe location nije nimfunze adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…