Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Pole
 
Kumbe huko kwenye ndoa mnapata tabu sana ...bora sie wa mlenda vuguvugu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yote tisa, pole sana man ila hapo kwenye kubeti lazima mwanamke akudharau,
 
Bro ukiona hadi mtu naweka mambo public hivi basi jua tu ndani kunawaka moto
 
Mwanamke akishakulingasha na maex wake na kukutamkia kabisa ni kwamba hakutaki, anajua mwanaume ana wivu sana so akisema ndio mwisho wa safari! Huwa wanasema dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzake so broda akili kichwani kwako, kuzaa sio big deal hata mbuzi anazaa!
 
Ndoa sio kwa ajili ya wanaume dhaifu, huyo unatakiwa umtawale na sometimes unamchenjia unamuwashia moto ili next time akome ujinga asirudie, kakudharau ndo maana hana adabu anaongea lolote linalomjia mdomoni
Kuna member ana itwa Tayana-wog ali nambia wanaume mna takiwa muwe wapole, nika mwambia nafwaaa.

Hivi viumbe una takiwa uwe very flexible, wasi kuzoee au kukusoma kabisa.
 
Oya wako hivo hivo sio wakwako tuu.

Mimi nimejaribu kua single baada ya ndoa kuvunjika nikafeli nikadanganywa na mtoto wakinyankole kutoka Uganda baada ya kumpa mimba sasa nakoma balaa ni lile natamani usingle kudadeki 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…