Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Anakulinganisha na ma ex = disrespect kubwa sana. Mpige yellow card mpe warning next time utampeleka kwao mwenyewe na mabegi and that will be the end
 
Mkuu fanya mpango wa kuoa mke hapo hakuna mke. Huyo ni bitch km ulivosema. Mwanamke akianza kukufananisha na ma ex zake tena anakupondea 😆😆😆😆 kagua hata watoto ukute sio wa kwako.
 
usiseme unasubiri Mungu akunusuru, mola huwa havunji mahusiano, ila amekupa utashi wa kufanya maamuzi
 
Kuna member ana itwa Tayana-wog ali nambia wanaume mna takiwa muwe wapole, nika mwambia nafwaaa.

Hivi viumbe una takiwa uwe very flexible, wasi kuzoee au kukusoma kabisa.
No sio uwe mpole banaa😂😂

Kwangu mi sio uwe mpole au mkali ila Kuna ule uwezo wa ndani mwanaume kaumbiwa nao wa kuweza ku control Kila kitu mpk mwanamke na hiyo sio kuwa mkali jmn, wangapi wakali na haijawasaidia ?
Kuna namna tu ya kum control mwanamke Kila eneo na anatulia tulia Tena najivunia mwanaume wake
 
Huwezi ukaapa kwamba mtakua nae pamoja kwenye shida na raha wakati ukiishiwa pesa anakudharau na kutoka na wazee wenye vihela vya mboga mjini!!

Usiape kuishinna mwanamke,sogea tuishi with anytime to terminate contract ndio the best way!!

Mimi nimegoma kabisa kumpa hatma ya maisha yangu mwanamke tuliekutana nae ukubwani,anaweza kukufanya lolote na usiwe na Cha kufanya!!

Hivyo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…