Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki.

Chadema kuna shida kubwa sana.
 
Mlimuulizia Mbowe,Lissu na wengine na wakawepo.Mkamtaka na Pambalu?🤣🤣🤣
 
pambalu alishaga wekwa ndani wakampumulia kisogoni mahabusu sugu hajaribu tena anapaogopa kama ukoma
 
Kwa tunao mfahamu dogo john , ni kijana kutoka humble background sio mtu wa vurugu tangu akiwa IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL.

Ni mkatolik Kama kwa ilivyokua kwa baba wa taifa na Benjamin mkapa na hata JPM.

Ni mtulivu na mwoga Sana sio Kama kina marehemu comrade mawazo R.I.P so kifupi huto mwona akileta vurugu Wala kutaka vurugu tangu udogoni mwake.

Wanao mjua zaidi watakuja kuongezea NYAMA NYAMA.
 
Haya maandamano inaweza ikawa ni honeypot kwa ajili ya serikali kukamata watu wenye chembechembe za dissent..
Maana wanaokamatwa na kupotezwa ni hawa viongozi na chawa wenye nafasi za chini chini
 
Kwani yeye mjinga hadi waandamane? Yeye mwenyewe anayo imani kubwa sana na serikali ya Rais Samia.na wala hamkubali kabisa mbowe na ndio maana aligoma kabisa kwenda kwenye maandamano
 
Duh mwenyekiti wa bavicha amefanyiwa michezo ya pdidy?
Akili za yuvisissiem bhana ni uchafu sana,uwa hamna hoja zaidi ya kuchafuana tu

Kuna vijana pale Temeke wanamfaham Yule andunje wenu kawaida uwa wana mkaza na yeye mwenyewe anafaham

Kuna siku tutatoa uchafu wake
pambalu alishaga wekwa ndani wakampumulia kisogoni mahabusu sugu hajaribu tena anapaogopa kama ukoma
 
Mnyika bado anafanya"ibada".Amegomea kanisani.Analalama eti anasakwa!
 
Mlimuulizia Mbowe,Lissu na wengine na wakawepo.Mkamtaka na Pambalu?🤣🤣🤣
Pambalu ni mwenyekiti wa vijana Taifa. Kwa nini kakimbia maandamano?

Bora yeye mnyika anasema muda wa maandamano alikuwa kwenye ibada kanisani analiombea taifa 😂😂
 
Back
Top Bottom