Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwaona wote waliokuwepo?🤔Pambalu ni mwenyekiti wa vijana Taifa. Kwa nini kakimbia maandamano?
Bora yeye mnyika anasema muda wa maandamano alikuwa kwenye ibada kanisani analiombea taifa 😂😂
Ww ulikuwa wapi? maana yalikuwa ni maandanao ya wananchi wote.Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki.
Chadema kuna shida kubwa sana.
Huyu ni Erythrocyte alijificha uvunguni mwa kitanda cha Mbowe.Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki.
Chadema kuna shida kubwa sana.
Hata hunu JF alikimbia, hakuna chama hapo.Pambalu ni mwenyekiti wa vijana Taifa. Kwa nini kakimbia maandamano?
Bora yeye mnyika anasema muda wa maandamano alikuwa kwenye ibada kanisani analiombea taifa 😂😂