Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

Ww ulikuwa wapi? maana yalikuwa ni maandanao ya wananchi wote.
 
Alikua nyuma ya keyboard amelala kwao anaandika mtandaoni " Leo hadi kieleweke samia Must Go"
 
Reactions: Tui
1:Mdude
2😛ambalu
3:sativa
4:maria
5:Martin maranja
Akili za kuambiwa changanya na Zako
 
H Huyu ni Erythrocyte alijificha uvunguni mwa kitanda cha Mbowe.
 
Pambalu ni mwenyekiti wa vijana Taifa. Kwa nini kakimbia maandamano?

Bora yeye mnyika anasema muda wa maandamano alikuwa kwenye ibada kanisani analiombea taifa 😂😂
Hata hunu JF alikimbia, hakuna chama hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…