Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DED aliyesaidi chama kushinda leo anatupwa kama tissue paper.Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Resilience imefika mwishoAnakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
KitukoAnakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
Mama anajali sana Kadi za CCM.Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Muda ni mwalimu mzuri tusubiri tuone mwaka kesho uchaguzi wa Serikali za mitaa.Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Umeelewa kinachozungumzwa mkuu?Hoja ya mama ni kuechepusha maendeleo kwa jina la chama(upinzani), mama kaonyesha a real resilience. Msipende kushabikia yasio na weledi kwani Tanzania ni ya wote sio ya ccm.
Ile tabia ya usipoichagua ccm hampata maendeleo mama kaizika leo mchana kweupee kama mzalendo wa kweli mpe mama maua yake please. Chuki za ufukweni usilete hadi nchi kavu kwa kuona kila kitu kinachotokana na yeye ni kibaya
Hawakutimiza wajibu wao, wa kuwatumikia wananchi bila ubaguzi.Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Umeelewa kinachozungumzwa mkuu?
Chuki gani? Kwanini tumchukie Rais wetu.
Suala la watu kurudisha kadi za CCM kwani limeanza leo?
Suala la kupanga miradi kwa upendeleo limeanza leo?
Sasa hiyo hofu ya kurudisha kadi za chama ipoje ba inatoka wapi?