Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

Anakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
Apambane na wanaomzunguka jikoni kwake hao maDED na DCs wako masafa huko wanayajulia wapi ya bandari, Ngorongoro na mikataba ya kihuni wanayotengeneza ili kujilimbikizia utajiri
 
Hoja ya mama ni kuechepusha maendeleo kwa jina la chama(upinzani), mama kaonyesha a real resilience. Msipende kushabikia yasio na weledi kwani Tanzania ni ya wote sio ya ccm.
Ile tabia ya usipoichagua ccm hampata maendeleo mama kaizika leo mchana kweupee kama mzalendo wa kweli mpe mama maua yake please. Chuki za ufukweni usilete hadi nchi kavu kwa kuona kila kitu kinachotokana na yeye ni kibaya
Wajinga wana chuki sana wanakwepa ukweli aliousema maded na Madc wanarusha maendeleo sehem zenye upinzani amehoji kwani wapinzani sio watu

Haua majinga Kwa sabab ya chuki zao yanasema yanayoyataka
 
Anakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
Sele: Wanatangaza Amani huku wameficha mapanga.

Chama Cha mambuuzi!!
 
Back
Top Bottom