Conservator
Member
- Jun 26, 2017
- 79
- 110
Wewe mfuasi wa chama cha Mbowe acha kupotosha. Ukitazama video nzima kilichomkera mama ni DED na DC kuchepusha miradi na kwenda kuipeleka sehemu iliyokuwa haijakusudiwa ili kuwakomoa wananchi wa eneo hilo wanaosemakana wengi wao ni wapinzani. DED na DC walidhani watamfurahisha mama kumbe mama hataki huo ufala wa enzi za mwendakuzimu...
Kasema CCM na wapinzani wote ni watanzania na miradi ipelekwe sehemu iliyokusudiwa na sio kuchepushwa. Wanaorudisha kadi za chama ni wanaCCM walio na hasira baada ya miradi iliyokuwa ipelekwe maeneo yao kuchepushwa. Leo mama kaweka alama ambayo haitakaa ifutike. Kasema hata kama eneo zima lina Wafuasi wa Mbowe mradi upelekwe bila kuchepushwa. 2025 mama atabeba kura zote za upinzani na za CCM.
Safi sana. Umeeleweka Chief