Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

Safi sana. Umeeleweka Chief
 
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?

Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.

Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.

Mods huu ni upotoshaji. Rais alikerwa na maamuzi ya DC na DED kutopeleka mradi eneo moja kwa madai kuwa wananchi wa eneo hilo ni wapinzani.
 
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?

Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.

Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Maana yake hawatimizi wajibu wao vizuri na hivyo wananchi kuichukia serikali na chama tawala hadi kufikia hatua ya kurudisha kadi.
 
Maana yake hawatimizi wajibu wao vizuri na hivyo wananchi kuichukia serikali na chama tawala hadi kufikia hatua ya kurudisha kadi.
Maded na DCs ni wafanyakaz wa CCM?
 
Mleta mada umekata hicho kipande "out of contents", mbona hukuanzia kwenye "syndicate" alipomnyanyua mkuu wa mkoa wa Mtwara?

Pia hukuona alipokemea kuwa wananchi wameshindwa kusikilizwa na kuhudumiwa huko? Mbona hujasema kwanini katimuliwa? wamehamisha miradi? "wamepeleka kwenye haja ndogo wamewacha kwenye haja kubwa". Hilo limekuwa gumu kwako kulisema?

View: https://www.youtube.com/live/3wNvApj1UUo?si=oY41JTlqFc2Pbxq6
 
Suala la Kurudisha Kadi ni kweli au si kwel?
Je wamefukuzwa kwa utendaji mbovu au wananchi kurudisha kadi za CCM( kwa mujibu kwa clip)?
 
Kweli kabisa, sababu za kurudisha kadi ni nini? Hujazisikia?

Kuna watu wanaomba kazi serikalini ili wakajijenge wao badala ya wananchi. Kumbuka hilo.
Sawa,

Lakini kwani watumishi wa Umma ni wafanyakazi wa CCM?

Ambao hawana kadi wanarudisha nini?
 
Acha kupotosha wewe. Cha muhimu jua mama atashinda kwa kishindo 2025. Huenda akapata kura kwa 99%
 
Umenena ukweli kabisa mkuu
 
Wateule wa rais wanaishi kama digi digi yani muda wowote mtu unatimuliwa, hawana amani ya moyo mana hawana uhakika wa kesho yao kwenye kazi. Heri yetu sisi ambao hatuna hizo kazi lakini tuna amani ya moyo.
 
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?

Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.

Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Waraka wa TEC
 
Watumbuliwe kabsa,wameshindwa kukilinda chama ,nakutangaza miradi mbalimbali iliyotekelezwa na Raisi kupitia chama chamapinduzi
 
Wewe na yeye wote mnauelewa mfinyu sana.... Pumbavu
 
Fact
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…