Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

Anakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
Apambane na wanaomzunguka jikoni kwake hao maDED na DCs wako masafa huko wanayajulia wapi ya bandari, Ngorongoro na mikataba ya kihuni wanayotengeneza ili kujilimbikizia utajiri
 
Wajinga wana chuki sana wanakwepa ukweli aliousema maded na Madc wanarusha maendeleo sehem zenye upinzani amehoji kwani wapinzani sio watu

Haua majinga Kwa sabab ya chuki zao yanasema yanayoyataka
 
Anakwambia hawezi kustahamili kadi kurudishwa huku anaimba R4 sijui Resilience... hawa watu wamechoka.
Sele: Wanatangaza Amani huku wameficha mapanga.

Chama Cha mambuuzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…