Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

Umpige talaka ya nini, unamwolea tu mbebez matata halafu siku zinakuwa zinapitiliza tu kule kwa mke mdogo.......lazima akili zimsogee.
 
Connect dots.
  1. Alikuwa DC wa Pangani
  2. Ameolewa na Mbunge wa Pangani
 
ONLY IN TANZANIA, NA BADO YUPO MADARAKANI HAJAJIUZULU BADO!
 

Mkuu sasa huoni kuwa alikuwa busy na Waziri?
 
Kwaiyoo huoo uchafu ulishndwa kumalizan nae,?
 
Usisahau wakati anasema yuko bize alikjwa DC wa Wilaya ambayo mmewe wa sasa alikuwa mbunge. teh! teh! teh! teh!
 
Alivyoonja penzi la Mbunge na Naibu Waziri kipindi hicho ikabidi amtose Mwandishi/ mtangazaji wa habari, wanawake si watu wazuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…