Hakuna MSICHANA mwenye phd mkuu
Kweli ww mjasiriamali. Dah
Nimeishia kucheka tu
wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?
Haa haaa!! Mkuu alikuwa anamaanisha kuwa ana kipilipili yaani "Poor Hair Distribution"...sasa wewe hukumuelewa!! Unakimbilia kiingereza..kwani umemsomesha wewe!!?
wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?
Nimeishia kucheka tu
Wengine wanaPHD za umalaya ujue
Shangaa wewe aisee
Mkuu ukweli kabisa, mtu mwenye umri wa kuitwa MSICHANA,na najua hajakosea, hawezi kuwa na PHD, labda mwenzetu sijui yuko nchi gani , ila iko ivo mkuu King'asti