Kuna mtu humu humu nchi ana uprofesa wa kilimo lakini hata scientific name moja ya mmea hajui..
wadau,
kuna msichana nimempata na aliniambia anayo phd lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.
Wadau hapa kuna phd kweli?
Pseudolachnostylis maprouneifolia
yani huyo anajitambua mpaka raha atakuwa ana phd ya historia na hivo hataki mabo ya utumwa wa lugha na ukoloni mamboleo. Nakumbuka dr lwaitama aliwaambia wahudumu wa ndege haelewei kingereza bali waongee kiswahili tu
Labda PhD ya kiswahili..
wadau,
kuna msichana nimempata na aliniambia anayo phd lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.
Wadau hapa kuna phd kweli?
Hakuna MSICHANA mwenye phd mkuu