moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao.
Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi ya kutoa, kisha akaja kuniambia nilikasirika sana Ikabidi nimuache maana mi sikutaka atoe.
Miaka ikapita akaona umri unaenda akapata mtu akampa ujauzito akajifungua bila ndoa cha ajabu zaidi mwanamke akanitafuta akaniambia aliemzalisha ni mvivu wa kutuma matumizi kwani hawaishi pamoja ye yuko kwao Hadi leo anaomba niwe naampa kidogo support.
Wanawake wenye tabia kama hizi endeleeni.