Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Kabisa
 
Wakuu anachosema huyu jamaa ni kweli. Mimi ndo yule mlinzi niliyempeleka nyumbani kwa mwarabu akanikatia ganji ya 30 japo yeye kaenda kuingiza zaidi ya 200k.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari na nusu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfano kesho aka samehewa akarudi hapo hapo na mwarabu aka mwambia kila kitu atakuchukuliaje? Kumbuka yule akikutana na mwarabu wanaongea uchi bhna na wakiwa katika hali iyo kuna nguvu sana
 
Kwahiyo bora kutetea mchepuko kuliko mpenzi wako,. Hii naona haijakaa sawa, Hiyo siku nitamkata nyegere zake haki ya naniπŸ€’πŸ€’
Hapo lengo sio kuonesha nani ni bora zaidi na anafaaa kutetewa, nachomaanisha ni namna ya kumtetea huyo mdada asidhurike Wala kuumizwa Kwa namna yeyote!
 
Hapo lengo sio kuonesha nani ni bora zaidi na anafaaa kutetewa, nachomaanisha ni namna ya kumtetea huyo mdada asidhurike Wala kuumizwa Kwa namna yeyote!
Duuh,. Means mpaka umeleta mwanamke mwingine ndani umuhofii mpenzi wako ( shortly humpendi )
Muendage tu Lodge huko mkuu wengine tuna hasira za mizimu ya mababu mtakuja mfeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…