Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Pa kumpeleka tunatofautiana mtizamo, wengine popote kambi wengine lodge....Ila kama mm nikashaspot wa malengo bas hatashare kitanda na mtu mwngnDuuh,. Means mpaka umeleta mwanamke mwingine ndani umuhofii mpenzi wako ( shortly humpendi )
Muendage tu Lodge huko mkuu wengine tuna hasira za mizimu ya mababu mtakuja mfe๐๐
HIvi inakuwaga shida nini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja,. Niambie kwanza nijuePa kumpeleka tunatofautiana mtizamo, wengine popote kambi wengine lodge....Ila kama mm nikashaspot wa malengo bas hatashare kitanda na mtu mwngn
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Direct kusema sababu ni hii takudanganya bure maana tunatofautiana, lakini mambo yanakua mengi wengine wanakua wananyimwa na mabebi zao, wengine umbali unakuta mdada upo songea mshkaji yupo tabata, mda mwingine uchumi michongo ikikubali ny3ng3 nayo inakua inakereketa sana, mda mwingine ukiwa kwenye mahusiano ndo unapata sana mademu wa nje na wanakua hawakazi & mda mwingine inakua hobby tu ya kupata flavour mpyaHIvi inakuwaga shida nini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja,. Niambie kwanza nijue
Shida ya wanawake hufikiri kuhongwa ni haki yao. Unakuta mwanamke yupo busy na mambo ambayo hayana faida.Ushahidi naweka
Kumbe huwa mnajidanganya hivyo?๐น๐น๐น Ubaya ubwela
Unaacha na wewe kupiga huyo manzi wa mwarabu eti unamchongea..!!
Aliyekudanganya mwanamke anakomolewa kwa kuchongewa nani? Kesho tu anapata sponsor mwingine, kwanza haimuumi sio mumewe hata akimuacha hana cha kupoteza..!! ๐น
๐Hiyo laki mbili,akikisha kiasi kidogo ujinunulie dela linalokufit.
Kwani chumba kipo hapo kisiwani tuu kaka, au hawawez rudiana ?Chumba kashamuweka mwanamke wa kiarabu full stop
Nimeacha kusoma adiposema kigamboni to mbweni saa nne usiku.Daaaa hongera kumbekweli...? Kigamboni to mbweni khaaa saa 4 Usiku....ulirudi saa ngapi ?? Walinzi huwa hawakunali kukupa info boss zao .....wewe uliwezaje kukupeleka kwa boss ??