MTOA MADA KUNA KITU HUJAKIJUA KHS WANAWAKE
a) Wanawake ni naturally born masters of manipulation,
b) Wanawake Ni naturally born emotional intelligence officers.
c) wanawake Ni naturally born masters of playing mind games
Namaanisha nn,
Wanawake Wanajua vizur jins ya kuchekecha akili zetu ili tuingie kwny mfumo wao wanaotaka, watucontroll na kutimiza malengo yao either ya kiuchumi,kimapenz n.k
Huyo mwanamke wako Ni manipulative in nature, anapenda sana michezo ya kucheza akili na attention ya mwanaume.
Kiuhalisia,
Ukiingia kwny mfumo wake Kama una roho nyepesi hutoboi nakuapia, atakutesa Sana kihisia maana anaenjoy kuona unataabika kwa ajili yake.
Ntalifafanua hili kutokana na mazingira ya Uzi wako ulivotiririka,
1. Binti keshafanya intelligence ya kutosha na kajua unapenda mazoezi, ka-time Muda muafaka mzur mtakaokutana na kweli mmekutana kwny viunga ulivyoelezea.
2. Akavaa kimazoezi kukutamanisha akijua kabisa wanaume ni dhaifu kwa mavazi yale, Tunatamani kwanza,mapenz huja baadae.
3. Cha haraka haraka akakuletea havar za mbususu kijanja akijua kabisa wanaume tuna udhaifu wa mbususu za burebure, akakutamanisha ili uingie kwny mfumo.
4. Ulipoingia kwny mfumo,
akafanya kusudi kukuzingua uku mkiendelea na mawasiliano ili uumie na kila saa umuwazie yeye, ukiwa na matumain ya kupewa siku nyngn
5. Siku nyngn tena akakunyima kusudi ili uzidi kukaa ukimuwazia yet Ili mapenz yako kwake yazidi kukolea
6. Alipoona umemblock, akajua ile mbinu yake haijatick, anapaswa kurudi square one. Apo ndipo alipokuja kwako ili mwende ukamchakate.
7. Umemzingua ukamfungia vioo,
Amejua kabisa umekasirika na ulipania sana, hajaacha kukutafuta Wala hatokoma kukutafuta nakwambia mkuu.
Caution:
[emoji117]Huyu Binti Yuko ktk misheni maalum,
[emoji117]Kama sio mapenz kakupenda anatafuta gia muanzishe mahusiano
[emoji117]Basi Atakua katumwa(Honeypot trap)
HUYU BINTI HATA UKIINGIA NAE KWNY MAHUSIANO, USISEME ULIMTONGOZA.
yeye ndo kakutongoza Wewe, maana anajua vzr kucheza na akili yako back&forth.
My take:
Never under estimate power of woman in mission, mwanamke akiamua Jambo lake huchomoki, otherwise uwe jasusi Kama yy au zaidi yake [emoji1431]