Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Firstly I would to apologise to all men in this platform for going rogue to our Gents rule which is "Never kiss and tell". I think I have to tell this tale to y'all coz you might get something Worth.

Well, I met this perfidious malcontent in early last year, it wasn't a first time to see her... She's my neighbor from 3 blocks away but kutokana na mazingira ya eneo hili unaweza kuishi hata 3yrs majirani msijuane mnapishana tu barabarani. So she was walking that day and i met her.

Akaniuliza kama nilikua nimetoka kufanya mazoezi (Hua wanafanya) mimi nikajibu ndio nimetoka akasema nimpe namba yagu siku nikitaka kwenda nimshitue tue tunaenda nae. Agreed!

Tukawa tunachat chat tu kawaida ili kufahamiana...Kama kawaida law of Magnetism "Unlike pole attract each other" tukawa tunapiga stori za mambo hayo ya jinsia tofauti.

After some days Tukapanga muda na siku ya kuenjoy maisha mwenyewe ananisisitiza kua niwahi. Kutokana na alivyojiweka na umri wake sikudhani kama anaweza kuzingua (She's 4yrs older than me) Cha ajabu muda tuliopanga 18:00Am ukapita bila hata yeye kutoke na simu wala sms hapokei...Nilichukia manusra kupasuka!!😔😩

Katika maisha yangu hakuna kitu sipendi na ukinifanyia kamwe siwezi kukusamehe kama kunidanganya..I don't know but yaani ukinidanganya hata kwa kunitania siwezi kua karibu nawe hata kama upo vipi sitakuheshimu tena.. That's me, I'm so succumbed with truth and I can't hep about it.

So huyu dada alivyoniongopea siku hiyo sikutaka mabishano nilifuta namba yake na kila kitu about her! Nikafanya kama sijawah kufahamiana nae...Siku moja nakutana nae barabarani natembea akafanya kama anataka kunigonga halafu akachekaa...ndio nikazidi kumchukia.

Siku ya siku nikaona sms ananisalimu, nikachat nae kawaida kama hakuna kilichotokea Mwenyewe akawa anauhitaji...akaniambia nijiandae saa 18:00 twende somewhere akanirefund for my trouble of that day. Tukakubaliana location Levolosi tukawa tunasubiri mida tu huku tunachats 🙊🙈

Muda ukawaidia sasa kama kawaida ukinidanganya sikusamehi kamwe nikapanga nimpige tukio gani akome uswahili...nikaona nimlipizie alichofanya. Kajiandaa kamaliza akatoka nje ananisubiria mimi sikutoka ndani! Nikawa namchungulia kwenye geti namuona ananiangaza mimi nikarudi zangu ndani akabaki na hamu zake.. nilifurahi sana kumkoamoa.. nikitaka aone kile alichotaka kunipatia it's not a big deal to me! Naweza kuipata kwa mwanamke yoyote nitakayemuelewa Na siendeshwi kwa hisia I only se*+ when I want.
View attachment 2480787
[Sms zake hizo siku hiyo]

After two days nikashuka zangu dar nikafuta no yake!
This week nimerudi mtaani nikakutana nae tena akanilaumu kuhusu nilichomfanyia last year.... Nikameambia nitakuchek mida. Nikatafuta no yake kwenyw contact backups nikaipata nikamcheki. Tukachat tukapangana irudiwe...This time akasema niende anapokaa. Kwakua sio uswahilini nikaenda...Nikawawakilisha 🙈🙈View attachment 2480791
[Juzi deal done]
Baada ya hapo naona hakauki kunitext namm hata sina shida nae maana alinidanganya and that I can't forgive!
View attachment 2480801
Mwenyewe Naona kanogewa ila mimi hapana Liars and lies will be my last thing to deal with..

For mens...hawa wenzetu wanapenda watu wenye maamuzi ya kikatili ukimbembeleza anakuona mjinga na utakoma kwanini umemuachia nafasi ajue unamuelewa zaidi. Usimuonee huruma mwanamke kwenye maamuzi wanapenda masculinity. Ukimbembeleza anaona wewe shost yake.

So I take this as absolutely Win
View attachment 2480804
-Criston Cole
Nakubaliana na wewe.

Ila sasa umesema mnakaa ushuani lakini huo mwandiko wa

1. Mungo
2. Kimia

🤣🤣
 
Nothing new in this story....hupendi kudanganywa kwani wewe ni nani? So far so good unasumbuliwa na utoto. Kwa misimamo.hiyo utalia sana.
Dunia ya sasa haipendi watu wafuatao.
1. Wapole sana
2. Wenye misimamo sana

Nature will deal with you very fast.
 
Wakati huo kuna manzi niliiombaga mtunyenye enzi hizo tunafuata mafundisho ya ubatizo ikanitoa nje lakini dhamira ilikua bado ipo, ikapita miaka ikaolewa nikakuta ina watoto kama 5 ilibidi niiombe ikakubali nikapiga tu bila tatizo usisusie chakula sio tabia nzuri
 
Wanaume wa Jf ni wanafki balaa wapo tayari kukana jinsia zao ilimradi tu wajipendekeze kwa Wanawake humu. I kiss no frog...Nikikupenda nakupenda kweli ila sitakuruhus unichezee kishisia
I tip my hat for you, one legend to another.
 
"perfidious malcontent" google wakanambia "do you mean......."
 
Interesting...

How old are you?..
Kama hupendi kuongopewa na wanawake..utaweza ndoa kweli?
Wanawake na uongo ni samaki na maji...
K siku hizi zimeshuka thamani haki ya mungu! Enzi hizo tunaita bidhaa adimu, huyu jamaa asingeliona paja la mwanamke! Hawa wanawake walitulaza Milango wazi na Mbu kututafuna unamsubiri na haji, kesho yake anakucheka lakini mwanaume hukati tamaa hadi uipate K yake!
 
MTOA MADA KUNA KITU HUJAKIJUA KHS WANAWAKE
a) Wanawake ni naturally born masters of manipulation,

b) Wanawake Ni naturally born emotional intelligence officers.

c) wanawake Ni naturally born masters of playing mind games

Namaanisha nn,
Wanawake Wanajua vizur jins ya kuchekecha akili zetu ili tuingie kwny mfumo wao wanaotaka, watucontroll na kutimiza malengo yao either ya kiuchumi,kimapenz n.k

Huyo mwanamke wako Ni manipulative in nature, anapenda sana michezo ya kucheza akili na attention ya mwanaume.

Kiuhalisia,
Ukiingia kwny mfumo wake Kama una roho nyepesi hutoboi nakuapia, atakutesa Sana kihisia maana anaenjoy kuona unataabika kwa ajili yake.

Ntalifafanua hili kutokana na mazingira ya Uzi wako ulivotiririka,

1. Binti keshafanya intelligence ya kutosha na kajua unapenda mazoezi, ka-time Muda muafaka mzur mtakaokutana na kweli mmekutana kwny viunga ulivyoelezea.

2. Akavaa kimazoezi kukutamanisha akijua kabisa wanaume ni dhaifu kwa mavazi yale, Tunatamani kwanza,mapenz huja baadae.

3. Cha haraka haraka akakuletea havar za mbususu kijanja akijua kabisa wanaume tuna udhaifu wa mbususu za burebure, akakutamanisha ili uingie kwny mfumo.

4. Ulipoingia kwny mfumo,
akafanya kusudi kukuzingua uku mkiendelea na mawasiliano ili uumie na kila saa umuwazie yeye, ukiwa na matumain ya kupewa siku nyngn

5. Siku nyngn tena akakunyima kusudi ili uzidi kukaa ukimuwazia yet Ili mapenz yako kwake yazidi kukolea

6. Alipoona umemblock, akajua ile mbinu yake haijatick, anapaswa kurudi square one. Apo ndipo alipokuja kwako ili mwende ukamchakate.

7. Umemzingua ukamfungia vioo,
Amejua kabisa umekasirika na ulipania sana, hajaacha kukutafuta Wala hatokoma kukutafuta nakwambia mkuu.

Caution:
[emoji117]Huyu Binti Yuko ktk misheni maalum,
[emoji117]Kama sio mapenz kakupenda anatafuta gia muanzishe mahusiano
[emoji117]Basi Atakua katumwa(Honeypot trap)

HUYU BINTI HATA UKIINGIA NAE KWNY MAHUSIANO, USISEME ULIMTONGOZA.

yeye ndo kakutongoza Wewe, maana anajua vzr kucheza na akili yako back&forth.

My take:
Never under estimate power of woman in mission, mwanamke akiamua Jambo lake huchomoki, otherwise uwe jasusi Kama yy au zaidi yake [emoji1431]
Heshima kwako. Haswaa wanawake wa leo. Unamwambia wakat exposure anayo ameipata from ur fellow high level men. Tatiz la men ambalo ni la kimaumbile cant settle in Feelings. Vikilipuka vimelipuka. [emoji13]No shame no caring no what.
 
Wanaume wa Jf ni wanafki balaa wapo tayari kukana jinsia zao ilimradi tu wajipendekeze kwa Wanawake humu. I kiss no frog...Nikikupenda nakupenda kweli ila sitakuruhus unichezee kishisia
Sahii kabisa,
Michezo ya hisia Ni yakipuuz Sana
Ndo chanzo Cha maumivu kwny mahusiano
Akishakupenda udhaifu wako anakuchezea km toy
 
Wala sina uwezo wa kufanya jambo la kumuumiza kimwili mtu. Ila Never lie to me... nachukia uongo kuliko
Kila binadamu ana philosophy yake na outstand inayosimama kama identity yake haswa men.

Hakuna kosa lolote ulilofanya hapo. Kuna mazingira yanamfanya mtu azoee hali fulani mfano kupotezewa muda kudanganywa kuzungushwa kwa kuwa hana njia ya kujitetea. So kama Mungu amekujalia hali njema kwann usumbuke?

Ndio mana kuna migahawa ya mtaani ya MacDonald ama hotels nyota tofauti ukiorder kitu kisha kikachelewa saa nzima utaona sawa?
 
Mkuu kwangu mimi haiwezekani siendeshwi na hisia ndio maana alivyonizingua last year nikampotezea. Mwaka huu kajaa nimefanikisha. Siwezi kuumizwa hisia na mwanamke I'm Alpha male
Kam umemgonga uyo mwanamke,
Hapo hamna ujanja wowote umefanya,
Yeye ndio lilikua Lengo lake hilo umgonge,
Ni sawa kupiga bomu mochwari ujisifie umeua,umeonesha udhaifu Sana.

Mwanaume mwenye misimamo haendeshwi na nyege, unasusa, afu eti baadae unakula ndo nn sasa?

Ukiamua kususa, Susa Moja kwa moja kieleweke[emoji4]
 
Back
Top Bottom