Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Ifike sasa conclusion kila asietaka mwanamke kamatia mauzinde wako mmoja kamatia coca wako mmoja tulia....hamna haja ya mipasho daily.
Nimechekaaa had mbavu zinaumaaaa, Ila Eve! Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoaβ˜ΊοΈπŸ™Œ
Msenge gani huyo, mbona mnajifarij sana akati kila siku mnapishana vilingeni kutuloga japo mpate hata macho ma3 kama siyo hifadhi.
 
How many women in the world are doing that? Kwa nini mnatujumuisha wanawake WOTE kwenye tabia mbaya za mtu mmoja mmoja? Ndiyo maana nikasema do you have Bibi, Mama, Shangazi, Mke, Dada, Binti?
Approximately 90%+ of millenial women do that.
Ndio maana imekua kama samaki mmoja akioza wameoza wote.
I do have all of them but none each of them is millenial gen especially my grandma and my mum.
Kuhusu shangazi I don't give a damn.
Dada ninao na ninawaombea wasije wakaangukia huko maana ndio kizazi hiki.Binti alifariki akiwa mdogo sina mtoto labda Allah akinijaalia mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…