Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Basi mi nitakuwa wa pili kutoka mwisho🤣🤣🤣Mimi naomba niwe mke mdogo ili nipendwe sana☺️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mi nitakuwa wa pili kutoka mwisho🤣🤣🤣Mimi naomba niwe mke mdogo ili nipendwe sana☺️
kwaniniWe jamaa tapeli ww sio bure 😂
Na nasema tena stop stopWewe wasema
How many women in the world are doing that? Kwa nini mnatujumuisha wanawake WOTE kwenye tabia mbaya za mtu mmoja mmoja? Ndiyo maana nikasema do you have Bibi, Mama, Shangazi, Mke, Dada, Binti?Aaah taaddab dada,lini nimeanzisha uzi wa kuwasakama wadada!?
Na mleta mada hajaleta mada ya kusakama bali anaeleza ukweli.
Wanawake mnazingua sana aisee.
Tena wengi wenu naweza sema mnajiuza kijanja.
Yani mwanaume akiwa na hela mna take advantage.
Embu chukulia kesi ya Achraf Hakimi ambayo mkewe alidai talaka.
Hakukuwa na concrete reason ya kudai talaka na Hakimi hakumkosea mkewe lolote,ila kwasababu sheria inasema mkitalikiana mali hugawanywa pasu kwa pasu ikaamuriwa hivyo.
Ila bahati mbaya Achraf mali kaandika jina la bimkubwa.
Acheni ujambazi kwa kujificha kichaka cha ndoa.
Wanawake wa sasa majambazi.
Na dawa yenu tutawashenyenta futa hizo na mali hampati.
Eeeh?! Bibi umefika mbali sana.Ifike sasa conclusion kila asietaka mwanamke kamatia mauzinde wako mmoja kamatia coca wako mmoja tulia....hamna haja ya mipasho daily.
Kina bill gate. Kina Dr Dre, Kina elon musk kina trump kina jeff wa amazon nk woote walio achana na wake zao hawana akili..? Mpango wa Mungu unakataa haya wanayofanya hawa wanawake. Ukienda kwenye hivo vitabu vya dini hutaka uone mwanamke aliempendea mwanaume pesa na akataka talaka ili avune pesa za mwanaume. Mwanamke amekubali kuolewa na mwana ili avune pesa za mwana. 50 yupo sahihi kwa kizazi cha wanawake wa sasa huko mbele hasa weusi50 cent alikuwa Hana akili 😃
Ukitaka kuwa mume inabid uwe na akili na maandiko yamesema hivo
Sisi waislam sheria ya kwanza ni utii kama mke hakutii wewe mwanaume ndio tatizo
Ulishindwa Kuishi na mwanamke wewe mwanaume ndio unashida
Kuthomba tu na kusepaKwahiyo mkiwa mnapiga hii chapuo ya kutokua na wanawake.......huwa mnamaanisha muwe na mahusiano na wanaume wenzenu au huwa mnamaanisha nini.
Uwongo bana,ina maana waislam huoana na kuachana kila siku?..mbona tunawaona na familia zao daily na wanazikana🤣🤣🤣😂🤣🤣talaka mkononi hizo ndoa wapemba na waunguja wanaziita.
Ila Pemba mtalaka wa kike na mjane hawana thamani.
Ndoa za dini hii ni dakika sifuri,chalii
Wew una mwanamke alafu unawadanganya wenzakokwanini
Yule mamkwe amezaa watoto wanne kila mmoja ana baba yake.Tupe kisa mkuu
Mambo kama haya ndiyo yananifanya nisioeYule mamkwe amezaa watoto wanne kila mmoja ana baba yake.
X wife alikua watatu kuzaliwa na babaye watatu.
Yule mzee/babamkwe alikubali kusilimu ili amuoe yule mama,kwasababu bamkwe alikua mkristo si unajua wachaga mpaka umbadilishe dini ni mbinde?
Alibadili dini akamuoa yule mama,sasa wakaishi na kuishi,yule bimkubwa alipata mzigua mwenzake huko ambaye muislam mwenzake.
Kule penzi limemkolea akajisahau kama kamsilimisha mchaga huku,at the end akaanzisha vurugu mara ooh mtu mwenyewe dini haufati muislam jina mara ooh sijui vile akadai talaka ndoa ikavunjika.
Yule mzee alidata alipagawa alianza kuwa mlevi hadi akafukuzwa kazi,na alikua daktari wa watoto hospitali ya rufaa.
Ulevi ulipitiliza akaachishwa kazi.
Dada yake na baba mkwe ile kitu ilimuuma,alisitisha huduma zote kwa yule mama na akasema mtoto watamlea wenyewe,mama akagoma akasema mtoto nabaki naye mimi.
Basi yule shangazi mtu akawa anatoa huduma kwa mtoto tu tena zenye limit.
Ile ikawa inamuuma yule mamakwe,mtoto kadri alivyokua anakua akawa anamjaza ujinga kuwa baba yake alikua mlevi na muhuni wa wanawake ndio maana wakaachana.
Na baba yake ana uwezo ila amekataa kuwahudumia na mali kampa dada yake ndio aziendeshe.
Mtoto akakua na ile chuki hadi ukubwani.
Kipindi anakua shangazi yake alitoa nyumba nzuri tu ili akae yeye na mama yake.Mama mtu asivyo na adabu akamleta mwanaume hawajaoana akawa anaishi nae mule ndani.
Yule jamaa alipofariki msiba ukafanyika pale,ndipo shangazi mtu akafahamu kuwa nyumba alotoa kwaajili ya mtoto wa kaka yake wifi yake alikua anaishi na hawara yake.
At the end ugomvi ulienda ukaisha.
Ila baba mkwe alifariki kwa kuungua na moto.
Unaweza ukaona wanawake ni nyoka kiasi gani mkuu.
hapana sina, mie team chaputa kwanzaWew una mwanamke alafu unawadanganya wenzako
😋Na mimi kuchakatwa ndio kitu napenda☺️
Ndio maana mimi nilipomuoa huyu mkewangu wasasa nilimpa kauli mbili ngumu.Mambo kama haya ndiyo yananifanya nisioe
Unapoona mwanamke kaanza kukutafutia visa ujue huna chako hapo stuka