Halafu wana ushetani mwingine wanawake.aya ya mwisho inaonesha namna gani mwanamke huyo asivyo na akili. 50 alijionea kwa baby mama wake wa kwanza. Mwanamke alitaka pesa ambazo ni nyingi sana. Mwamba akachomoa na kutoa kiasi pungufu ya ile alikua anatoa mwanzo. Mpaka kesho mwanae wa kwanza hana mahusiano na 50. Kisa mama mtu. Na 50 alimwambia hela za child support zikiisha watanitafuta. Na kweli dogo alianza kumtafuta 50 na kubeef na babake. Mwamba hakutaka shida tia block.
wazee wa kataa ndoa zingine point 3 hizi dronedrake
Wanapenda sana kujaza watoto sumu waonekane wao bora kwa watoto halafu kina baba wabaya.
Unakuta baba umepambana umemtunza mtoto na umemsomesha mtoto hadi amekua lakini mama anamjaza sumu babaako hajakufanyia lolote na hakujali.Watoto wanafuata kile mama alichosema na kum despise mzee na kumtenga mzee.
😂😂Aiseeee wanangu wasije wakafanya hivi maana wana baba shetani zaidi.