Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Wewe si ndio dronedrake mbona kuna mtu hapo juu kakutaja kama mnapendana
jj.jpg


huyu ndiye mke wangu
haniombi pesa
hanipi UTI
hanipi Gono
hadai 50/50
hadai pasu kwa pasu
ananipa utelezi mda wowote ule
hanuni
hana gubu
hana kisamaki

niendelee ?
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoaโ˜บ๏ธ๐Ÿ™Œ
Msenge gani huyo, mbona mnajifarij sana akati kila siku mnapishana vilingeni kutuloga japo mpate hata macho ma3 kama siyo hifadhi.
 
How many women in the world are doing that? Kwa nini mnatujumuisha wanawake WOTE kwenye tabia mbaya za mtu mmoja mmoja? Ndiyo maana nikasema do you have Bibi, Mama, Shangazi, Mke, Dada, Binti?
Approximately 90%+ of millenial women do that.
Ndio maana imekua kama samaki mmoja akioza wameoza wote.
I do have all of them but none each of them is millenial gen especially my grandma and my mum.
Kuhusu shangazi I don't give a damn.
Dada ninao na ninawaombea wasije wakaangukia huko maana ndio kizazi hiki.Binti alifariki akiwa mdogo sina mtoto labda Allah akinijaalia mwingine.
 
Back
Top Bottom