Ndio maana mimi nilipomuoa huyu mkewangu wasasa nilimpa kauli mbili ngumu.
Nilimwambia mimi ni mtu ambaye halazimishi mapenzi na habembelezi, kwanza sijakulazimisha kuolewa na mimi.
Hivyo ukitaka kaa usipotaka ondoka,maana maisha ya mahusiano hayalazimishwi.
Pili mimi ni muajemi ama mwarabu ama msomali,bimaana mtu wa kisasi alkisasi haqqi.
Sasa ukifanya ujinga usidhani nitaufumbia,nitaulipiza mara elfu yake na nitakufanya ujute wewe hadi kizazi kilichokuzaa.
😂😂😂😂Weee kalivyo kajinga kakaenda kumwambia mamaake hadi nyumbani kakataka kuondoka kwa hofu.
Ila alhamdulillah hazingui,kama akizingua najua namna ya kumpa stahiki yake.