Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Sawa nisamehe kama kuna mchango umekuumiza na kukukwaza. Sijakamilika maana ni mwanadamu wa kawaida mimi pia 🙏Achana na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nisamehe kama kuna mchango umekuumiza na kukukwaza. Sijakamilika maana ni mwanadamu wa kawaida mimi pia 🙏Achana na mimi
Khaaa! Hata hujaniudhi mbonaSawa nisamehe kama kuna mchango umekuumiza na kukukwaza. Sijakamilika maana ni mwanadamu wa kawaida mimi pia 🙏
Nina pauni 5Una bei gani nikupe somo?
Unataka kuniuzia elimu hiyo kwa kiasi gani....?!Ndogo hivyo🙄
Kama ni gari, wewe engine yako ni V8 🙌Dollar 2,500
Unataka elimu ya bure nenda madrassaKama ni gari, wewe engine yako ni V8 🙌
Mumeo ajiandae... Otherwise awe na pesa sana!
Uko sahih, Kama Mama yako aliweza kwanini wao washindwe.Kwa akili zako unadhani mwanamke hawezi kuishi bila kuwa na mume? Vichwa vingine vipo kwa ajili ya kufuga nywele tu wallah!!!
Na kuna child support kasikia kuwa kipato cha tyrese kimeongezeka naye kaenda mahakamani anataka aongezewe child support kutoja dollar 15000 sijui hadi juu huko yani kwa mtoto mmoja tu"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake ku-file divorce (talaka) mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.
Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.
"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson
Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.
Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.
Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.
"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
–Tyrese Gibson
Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha akiwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani aliulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.
Learn or perish
Si ndio upo kwenye kundi la watakaofatwa na wanawake 7 muheshimiwa rijaliMimi Rijali kapisi samahani na tafadhali... Naunganisha cha pili hapohapo baada ya cha kwanza na hailali 😒😒😒
Nakusubirini P.M 😊Si ndio upo kwenye kundi la watakaofatwa na wanawake 7 muheshimiwa rijali
Ana trick zake kutishia watu Ghonorea diziz Mara you T.INimemshtukia, nilikuwa najichukulia Sheria mpaka nikiona povu au sabuni mwili unasisimka😁saiv narudi Kwa kasi Kwa kina Khadija juice
Wewe ndiye ulitaka tufike huku!
Dunia ya sasa hivi kila mtu atafute pesa zake lakini pesa zenu ni zetu usisahau hilo☺️
Nawaunga mkono wadada wanaotafuta pesa❤️
Mkuu utawafanyia ushetani gani hao watoto wako?Halafu wana ushetani mwingine wanawake.
Wanapenda sana kujaza watoto sumu waonekane wao bora kwa watoto halafu kina baba wabaya.
Unakuta baba umepambana umemtunza mtoto na umemsomesha mtoto hadi amekua lakini mama anamjaza sumu babaako hajakufanyia lolote na hakujali.Watoto wanafuata kile mama alichosema na kum despise mzee na kumtenga mzee.
😂😂Aiseeee wanangu wasije wakafanya hivi maana wana baba shetani zaidi.
Hakuna Rais anachapiwa wewe! Hakuna'ga' Rais fala😁Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri
Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
Mhh msikilize Luis Saha mchezaji wa Everton, Spurs na Man Utd alikuwa anakunja kwa wiki Pounds 200K.Kwenye hiyo list ya wachezaji kuna Henry na Ebue ambaye mke wake kampukutisha kila kitu, hajamwachia hata senti.Mambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???
Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
Na kuna child support kasikia kuwa kipato cha tyrese kimeongezeka naye kaenda mahakamani anataka aongezewe child support kutoja dollar 15000 sijui hadi juu huko yani kwa mtoto mmoja tu
Mkubalie uone kama atakuoa sasa.Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌