Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson

Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia ni baby mama wake ku-file divorce (talaka) mahakamani na kusepa na nusu ya mali ambazo mwamba alizozitafuta maishani.

Laiti angesikiliza ushauri wa Curtis Jackson, 50 Cent yote hayo yasingemkuta.

"50 Cent alinionya sana ikiwa wewe ni mtu wa kupenda basi sio kwa wanawake wa kizazi hiki lakini sikumsikiliza."
–Tyrese Gibson

Vijana wa ndoa ni utapeli wana hoja sana na wasikilizwe kwa umakini.

Pia kuna wanetu humu mara nyingi huwa wanasema usiwatupe marafiki zako na watu wa familia kwa sababu tu ya mwanamke. Hiki ndicho alichojionea Tyrese kwa 50 Cent.

Tyrese baada ya kufulia 50 Cent hakumtupa akampa deal kwenye movie yake ya POWER.

"50 Cent bado hakuniacha, alinipa nafasi katika filamu yake ya POWER. Hii imenisaidia kujipata tena baada ya kipindi kigumu."
Tyrese Gibson

Mwaka mmoja baada ya talaka Samantha akiwa kwenye mahojiano ya kipindi fulani aliulizwa ikiwa angetaka kurudisha uhusiano wake naye. Akasema yuko tayari kurudiana na Tyrese.

Learn or perish
Na kuna child support kasikia kuwa kipato cha tyrese kimeongezeka naye kaenda mahakamani anataka aongezewe child support kutoja dollar 15000 sijui hadi juu huko yani kwa mtoto mmoja tu
 
Halafu wana ushetani mwingine wanawake.
Wanapenda sana kujaza watoto sumu waonekane wao bora kwa watoto halafu kina baba wabaya.
Unakuta baba umepambana umemtunza mtoto na umemsomesha mtoto hadi amekua lakini mama anamjaza sumu babaako hajakufanyia lolote na hakujali.Watoto wanafuata kile mama alichosema na kum despise mzee na kumtenga mzee.
😂😂Aiseeee wanangu wasije wakafanya hivi maana wana baba shetani zaidi.
Mkuu utawafanyia ushetani gani hao watoto wako?
 
Mambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???

Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
Mhh msikilize Luis Saha mchezaji wa Everton, Spurs na Man Utd alikuwa anakunja kwa wiki Pounds 200K.Kwenye hiyo list ya wachezaji kuna Henry na Ebue ambaye mke wake kampukutisha kila kitu, hajamwachia hata senti.
Screenshot_20240831_152142_Instagram.jpg

Kwa kifupi kama ukiwa na hela ni ngumu kupata mke bora.Hatu waonyeshei vidole ila kwa nchi za ulaya na US ndio hali halisi.
 
Back
Top Bottom