Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Al-akhy ulitisha walalooo πŸ˜‚πŸ‘πŸ™Œ
 
Mimi sizungumzii kule bali uwongo wako wa waislam kuachana sana kana kwamba ni 90%,huko marekani hawaachani!?..angalia rate ya talaka USA na ulaya
Duh umekimbia fasta sana mkuu toka Zanzibar mpaka Marekani ni umbali mrefu sanaa.
Mimi nimezungumzia hawa niliowataja.
Sio uongo,ni ukweli kwa 100%
Wao wanaita chungu.
Utawasikia wakiulizana "Chungu cha ngapii"
 
Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri

Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
Rais gani anachapiwa au alichapiwa ephen?! Unaropoka sana na uhuru umezidi mipaka eeh?!

Unajua wale mawasiliano yao yote yako traced na kila nyendo wanafuatiliwa kwa ulinzi na usalama wao binafsi, familia zao na nchi kwa ujumla. Hayo huwa ni maneno tu achaneni na story za kudanganywa.
 
Juzi kati nilikula tigo ya binti wa miaka 17 joseph1989
Oya! We jamaa nilishakusoma una majini na mashetani mchanganyiko... Juzi kati ulianzisha uzi kutaka msaada maana umebobea kwenye hiyo michezo watu wakusaidie, leo unatuletea upumbavu wako humu. Nia na dhumuni la kuandika hivyo ni nini?! Wewe unaweza ukawa shoga wewe au muda si mrefu utaanza kupakuliwa... Hatukuelewi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…