Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Chanzo ni PESA mkuu

Hata mimi kuna mbwa ziliniumiza ila sa hv nikikutana nazo zinaleta shobo, nikizicheki zimechakaa ile mbaya
 
Mzee wa kupambania anajisifu yeye haongi ila anasponsor mchakato wa demu kuliwa

Kwanini huo mchakato wasitumie pesa za mwanamke au zao wote cz raha wote wanapata!

Watajibana lakini mwisho wa siku hela zao ni zetu na zetu ni zetu tu😂
Mchakato wa kuila nalipia ili niichape vizuri bila masimango 🤣

Kuna siku nilikaza nikatumia za mwanamke nikakosa uhuru kabisa ila hakuwa na noma wala nini

Hiyo za mwanaume zenu labda kwa simps
 
Pole sana mkuu
 
Amerudia kosa lile lile alilokanywa na 50.....ameoa tena......yaani maumivu hayajamfunza kitu.......huyu ndugu anaonekana ni mdhaifu sana kwa wanawake na akipenda anapenda vibaya........
Huyu Tyrese ni mpumbavu sana ni jamaa ambaye anapuuza sana red flags kwa wanawake

Imagine sasa hivi amemuoa single mom ambaye huwa anapost picha za nusu uchi mitandaoni anaitwa Zelie Timothy mwanamke ana red flags zote lakini Tyrese kazama penzini naye.

Mwone na anacheka kabisa kumuoa single mom. Kweli single mom ni mwanamke wa kufanya naye maisha? Inasikitisha sana.


Tyrese na Zelie Timothy

Hata yule ex wife wake Samantha naye alikuwa na red flags za kutosha naye akamuoa hivyohivyo akazipuuza kwa sababu ya pussy na urembo wake akapigwa 50% ya assets

Huyu jamaa ni aina ya wanaume dhaifu "SIMPS" wengi tulio nao katika jamii kwa sababu ya pussy na nyash wanapotezea red flags wanaishia kuchitiwa na kupigwa nusu ya assets zao na makahaba wakati wa talaka

Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanaume wapumbavu wa aina hii. Naamini hata mwanae 50 Cent huko alipo kachoka

Mwanaume yeyote kabla ya kuoa lazima ufanye vetting na uzingatie red flags la sivyo maumivu.

Don't feel pity for these men, they deserve everything and more they get from these women. There's a price to simping

Learn or perish
 
HUYU JAMAAA ANA TATIZO LA KIAKILI INGAWA WATU HAWAZINGATII....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…