Na hao malaya unaonunua si nao ni wanawakemwendo wa nyeto tu, kibunda mfukoni, UTI Ndotoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao malaya unaonunua si nao ni wanawakemwendo wa nyeto tu, kibunda mfukoni, UTI Ndotoni
Kununua malaya na kuoa ni vitu viwili tofauti.Na hao malaya unaonunua si nao ni wanawake
Chanzo ni PESA mkuuMambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???
Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
Mkuu watoto utawaletaje sasa..?mwendo wa nyeto tu, kibunda mfukoni, UTI Ndotoni
Mchakato wa kuila nalipia ili niichape vizuri bila masimango 🤣Mzee wa kupambania anajisifu yeye haongi ila anasponsor mchakato wa demu kuliwa
Kwanini huo mchakato wasitumie pesa za mwanamke au zao wote cz raha wote wanapata!
Watajibana lakini mwisho wa siku hela zao ni zetu na zetu ni zetu tu😂
Huita chuo na si chunguDuh naelewa hivyo kipindi cha mfungo huwa twahesabu hivyo ila sasa hapa huwa wanamaanisha anampikia bwana wa ngapii,basi mkuu nakubali mimi ni mwongo ila ndo nipo huku
Wengi hapa ni wavulana.Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf
Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Ila wote tutazama kaburini, sema mkeo anakupenda sureView attachment 3083289
huyu ndiye mke wangu
haniombi pesa
hanipi UTI
hanipi Gono
hadai 50/50
hadai pasu kwa pasu
ananipa utelezi mda wowote ule
hanuni
hana gubu
hana kisamaki
niendelee ?
Bibi yangu ana watoto 5 nilipokua na akili timamu ndio nimejua watoto watatu wa mwanzo sio wa mumewe na baba tofautitofauti
Single mama wanaolewa tena wanaliliwa kabisa☺️
Tuishi humoLesson...
Halafu mbaya zaidi huwa hawafiki popote na hizo mali.
Wanaishi kuzitapanya baadae wanarudi kusumbua kupitia watoto pale pale.
Pole sana mkuuAsilimia kubwa ya wanawake ni viumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea. Binafsi nipo kwenye great regreat imenikumba last week, siongeu vizuri na shemeji yenu. Sisi wote ni walimu, sisi wote tumeoana tukiwamayatima kwa wazazi wote, sisi wote tumelelewa na ndugu toka utoto, yeye alilelewa kwa bibi na baadae baba yake alioa so alilelewa na mama wakambo, she was a good mom to her.
Tulivyooana tulielewana kila tunachopata tunaleta mezani tunatoa matumizi binafsi kinachobaki tunafanyia maendeleo. Tumeenda hivo kwa miaka 10 ya ndoa. Mm ndo nina kipato kikubwa takriban mara 3 yake kwa maana ya mshahara coz ni mwk wa chuo x yy ni wa sec.
Sasa mwaka juz tulifikia uamzi wa kuhamia mkoa y kutoka mkoa x tulipokua tunafanya kazi. Huwa muda wote tunaishi kwenye bank loan na kila tunapokopa huwa tunajenga
So nikachukua loan bank kama 25mil nikamjengea numba ya kuishi mkoa y ili watoto na yeye wasiishi nyumba ya kupanga coz walishazoea kuishi kwao na mkoa y nyumba nilikuta zinabei sababu ni jijini tofauti na mkoa x. Nyumba ikaisha ikabaki baadhi ya finishing nikamwambia naye akakope 5mil tukafanya finishing, japo haikumaliza ila ilitosha kufanya watu waishi. Kweny mkopo mm huwa nachukua 3 yrs so huwa nakatwa nabaki na 1/3 tu, tuna watoto3 wote wapo shule tena private so huwa napambana hasa kuhakikishanalipa ada na huku huwa simhusishi napambana tu mwwnyewe. Pia huwa kila mwezi naboost matumizi ya kwake mkoa y kwani mm bado nipo mkoa x. Ss mwaka juzi alikopa kama 1mil hivi bila mm kujua nikaja kustuka slip yake ina den lingine nikamkaba akasema hajakopa nlivomwonesha slip akasema alikuwa na mgonjwa, ni kweli na mm nlituma hela ya matibabu, sikumwamini coz 1mil ni nyingi naye sio mtoto pekee ana kaka zake, tukalumbana nikapotezea. Wiki jana nimekuja kupitia slip yake nakuta ana deni la 6mil on top ya deni la 5mil toka nmb, ana mabot na crdb ukijumlisha yanafika kama 20mil ila kati hayo deni la 6 mil silijui na sijui hela yake ametumia kwa kazi ganimaana yake kila akipanda mshahara alikuwa anaenda kukopa na wakati tunakopa alikuwa na gross ya lak7 sasa ana gros ya lak9.
Ikumbukwe mkopo siri wa mwanzo nilimwonya asijekurudia kukopa bila kunishirikisha, sababu mwisho wa siku mzigo unanirudia mm ambaye lazima nicover kila kiasi anachokatwa kwa maana rahisi mm ndo mlipaji wa hili deni.
Kingine kinachonipa shida next of keen ni nani?, maana once akifa hatuombei hivo kuna mrithi wa mali na madeni ambaye kwa vyovyote vile nimke ama mume, ameweka ni nani, na nani huwa anasain kama mtu wake wa karibu. Hapa tumenuniana, nawaza hata kuchukua maamuzi magumu sana ya kumpandisha cheo coz haanisikilizi, hana huruma na hustle zangu. Possibly anajenga ama kuna mwamba anamkula amemkopea
Najua mimi mwenyewe.Mkuu utawafanyia ushetani gani hao watoto wako?
Sasa bibie huyu cocastic atazaa watoto kweli? Manake itafika kipindi hilo tundu lenyewe litachoka kabisa😀Ifike sasa conclusion kila asietaka mwanamke kamatia mauzinde wako mmoja kamatia coca wako mmoja tulia....hamna haja ya mipasho daily.
Amerudia kosa lile lile alilokanywa na 50.....ameoa tena......yaani maumivu hayajamfunza kitu.......huyu ndugu anaonekana ni mdhaifu sana kwa wanawake na akipenda anapenda vibaya........
HUYU JAMAAA ANA TATIZO LA KIAKILI INGAWA WATU HAWAZINGATII....Huyu jamaa ni mpumbavu sana ni jamaa ambaye anaopuuza sana red flags kwa wanawake
Imagine sasa hivi amemuoa single mom ambaye huwa anapost picha za nusu uchi mitandaoni anaitwa Zelie Timothy mwanamke ana red flags zote lakini Tyrese yuko naye.
Mwone na anacheka kabisa kumuoa single mom
View attachment 3083942
Tyrese na Zelie Timoty
Hata yule ex wife wake Samantha naye alikuwa na red flags za kutosha naye akamuoa hivyohivyo akazipuuza kwa ssbabu ya pussy na urembo wake.
Huyu jamaa ni aina ya wanaume dhaifu wengi tulio nao katika jamii kwa sababu ya pussy na nyash wanapotezea red flags wanaishia kuchitiwa na kupigwa nusu ya assets zao na makahaba wakati wa talaka
Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanaume wapumbavu wa aina hii. Naamini hata mwanae 50 cent huko alipo kachoka
Mwanaume yeyote kabla ya kuoa lazima ufanye vetting na uzingatie red flags la sivyo maumivu.
Don't feel pity for these men, they deserve everything and more they get from these women. There's a price to simping
Learn or perish
Mtabeba hata li teddy bear, si hamuoni umuhimu wa mwanamke.....Sasa bibie huyu cocastic atazaa watoto kweli? Manake itafika kipindi hilo tundu lenyewe litachoka kabisa😀