Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Si wasign prenup( pre-nuptial agreement) kabla ya ndoa??
 
Mkuu mbona nimesoma mahala jeezy ndo ameomba talaka mwenyewe?
 
Si wasign prenup( pre-nuptial agreement) kabla ya ndoa??
Prenup mademu wa US hawataki kuisikia kabisa. Ujue siku hizi mapenzi baada fedha kuwa mbele mapenzi yamekuwa rahisi sana, ndio maana mbele mtu yupo tayari kumpa demu hata 3m USD ili amzalie then baada ya hapo demu anajikataa ana mwachia mtoto kila mtu na maisha yake. Sababu anajua ngumu kupata mwanamke atakaye mpenda kweli,ila kwa kuwa ana hela basi ni rahisi kupata ngono kwake familia sio kipaumbele sana kipaumbele chake ni mtoto,mfano Cris Brown ana watoto watatu kawapata kwa style kama hii.

Wanawake hawajui fedha imefanya ngono iwe rahisi na iwe kama bidhaa, si unajua bidhaa wanazigrade na hata ile iliyokuwa na thamani kubwa juzi leo itadrop. Ngono siku hizi imekuwa bidhaa na ndio maana haifanywi kwa hisia na upendo,ndio maana siku hizi kuna mitindo/style ya kufanya mapenzi zaa ajabu a kukomoa, sababu fedha imefanya wanawake wawe kama kifaa cha kufanyia ngono, yaani ule ubinadam haupo ndio maana unasikia siku hizi kuna lundo linalokuwa kwa kasi la wanawake wanaotoa ndogo.
 
Mkuu mbona nimesoma mahala jeezy ndo ameomba talaka mwenyewe?
US mwanaume kuomba talaka ni sawa kukubali kufilisika, talaka za US sio bongo. Tajiri wa Amazon talaka yake na mkewe imemtoka USD bil 40,hapo bado anatoa Allomony na Child Support na ndio maana Bil Gates,Jeff Benzos,Elon musk hutokuja kusikia wakioa tena baada kuachana wake zao,kwani talaka zimewapukutisha hela nyingi, sema tu wao wanavyanzo vingi vya fedha ila swala kuoa tena vichwani mwao hamna, japo sasa hivi wanatoka vibinti vigori.

Talaka US huwezi fananisha na bongo,kwani huwaga inamwacha mwanaume katika hali mbaya ya kiuchumi. Wanaume wanaombaga talaka ni wale wanaodate na wanawake wenye hali nzuri kifedha,sababu wanajua hawana cha kupoteza,kama Merry J,Britney nk hawa nao wanaume zao wamepiga hela kupitia talaka.
 
Jana tena Jaji ka triple Child support🤣 alichokuwa anatoa kwa mtoto wake kwa mwezi!! Sasa Mahakama imeamuru awe anakitoa mara 3 kwa mwezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…