Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Halafu wana ushetani mwingine wanawake.
Wanapenda sana kujaza watoto sumu waonekane wao bora kwa watoto halafu kina baba wabaya.
Unakuta baba umepambana umemtunza mtoto na umemsomesha mtoto hadi amekua lakini mama anamjaza sumu babaako hajakufanyia lolote na hakujali.Watoto wanafuata kile mama alichosema na kum despise mzee na kumtenga mzee.
😂😂Aiseeee wanangu wasije wakafanya hivi maana wana baba shetani zaidi.
 
Pesa zenu ni zetuuu😂
 
Sana mkuu. Dogo kajazwa ujinga na mamake now anajuta maana baba hajamwandika kwenye mali zake mwamba anamweka mwanae mwingine mbele ya kila mishe zake
 
Muhimu umekubali miamala unatuma
 
Sana mkuu. Dogo kajazwa ujinga na mamake now anajuta maana baba hajamwandika kwenye mali zake mwamba anamweka mwanae mwingine mbele ya kila mishe zake
Wanawake wajinga sana.
Hii niliona kwa mamakwe wangu wa kwanza,aisee alimjaza chuki mkewangu juu ya baba yake.
Ila nilipokuja kupata the true story aisee yule mama ni nyoka.
Yani alimjaza mwanae sumu za uongo kujisafisha aonekane msafi lawama zirudi kwa baba mtu.
Bahati nzuri Mungu sio hamdala kiuno,alimuumbua vibaya yule mama.
 
Tupe kisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…