Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Na kuna child support kasikia kuwa kipato cha tyrese kimeongezeka naye kaenda mahakamani anataka aongezewe child support kutoja dollar 15000 sijui hadi juu huko yani kwa mtoto mmoja tu
Mahakama sio wajinga.
Mkewe 50 cent alienda kudai ongezeko wakapunguza hela nusu yake badala ya kuiongeza.
 
US mwanaume kuomba talaka ni sawa kukubali kufilisika, talaka za US sio bongo. Tajiri wa Amazon talaka yake na mkewe imemtoka USD bil 40,hapo bado anatoa Allomony na Child Support na ndio maana Bil Gates,Jeff Benzos,Elon musk hutokuja kusikia wakioa tena baada kuachana wake zao,kwani talaka zimewapukutisha hela nyingi, sema tu wao wanavyanzo vingi vya fedha ila swala kuoa tena vichwani mwao hamna, japo sasa hivi wanatoka vibinti vigori.

Talaka US huwezi fananisha na bongo,kwani huwaga inamwacha mwanaume katika hali mbaya ya kiuchumi. Wanaume wanaombaga talaka ni wale wanaodate na wanawake wenye hali nzuri kifedha,sababu wanajua hawana cha kupoteza,kama Merry J,Britney nk hawa nao wanaume zao wamepiga hela kupitia talaka.
Hata bongo talaka zinatuumiza vile vile.
Labda uombee asiende mahakamani,na sasa hivi kuna mahakama ya mirathi na familia Temeke Chang'ombe wanaume tumekwisha.
Kuna TAMWA na TAWLA tumekwisha.
Yani wakifika huko talaka haitoki pasi na mgawanyo wa nusu ya mali,hata kama kuna nyumba moja mtaambiwa iuzwe au uiache akae mwanamke na watoto.
Yani ukiachana na mkeo ombea asiitake talaka mahakamani.
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
Sio rahisi kihivyo🤣🤣🤣,kwa usawa huu wa kulengana na manati,......
 
Tumeamua, geisha inatosha mkuu🤣. Mmekuwa changamoto sana kwenye maisha ya wanaume.
Hata sisi tumewachoka mno bro......

Nyie sijui mmetokea wapi kwanza, sie Mungu alituumbia viongozi watuongoze, sasa kiongozi gani ni kilizi kama nini sijui....hatutaki kuongozwa na watu wanajilizaliza hadi kwikwi 😹😹 kidogo tu kilio, waone vichwa vyao
 
Sasa mkitufukuza ni nani anaweza kufanya ile shughuli unaipenda kuliko zote 🤣🤣wewe ndio wa kwanza kulia..
 
Sasa mkitufukuza ni nani anaweza kufanya ile shughuli unaipenda kuliko zote 🤣🤣wewe ndio wa kwanza kulia..
Dildo, tango, super vibrator hii unapata orgasm baada ya dakika 30+ achana na orgasm zenu za yanga za dakika mbili.....

Ila tuna vifua hatuliilii kama nyie 😹
 
Dildo, tango, super vibrator hii unapata orgasm baada ya dakika 30+ achana na orgasm zenu za yanga za dakika mbili.....

Ila tuna vifua hatuliilii kama nyie 😹
Sio kweli hata kidogo, kuna tofauti kubwa kati ya nyama ya asili na nyama za kina Elon Musk. Ile mikono ya kibabe ikipapasa na kuminya lazima upande Sekenke na giant ndogo🤣🤣

Sisi tunalia humu, ila kwa real life wala.
 
Ni hiviiii vibrator inawazidi utamu.....kwahiyo mkae kimya msituchoshe na vilio vyenu 🤣
 
Back
Top Bottom