Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.

Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.

Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya kituo cha afya cha kata ninayoishi akanifunga POP mkononi na plasta kichwani nikapiga picha nikaambatansha na picha za mtandaoni za lile basi baada ya kupata ajali nikamtumia mrembo.

Mchaga wa watu masikini akanipigia simu nikamwambia nimeruhusiwa niko home. Akasema nielekeze nakuja
Dakika chache mtu huyu hapa na fuko la matunda nikamwambia kama sio Mungu ningekufa huku naugulia maumivu fake, nikamkumbuka marehemu bibi yangu nikajikamua machozi haya hapa.

Akajichanganya tu akanisogelea...nilimvuta nikambusu nikampa show moja ya kibabe akabaki kujiuliza huyu ni majeruhi wa aina gani. Nilipeleka moto sijawahi tangu nizaliwe.

Kuanzia siku hiyo akawa mpenzi wangu ma hiyo siri hakuwahi kujua labda aisome humu.
 
Back
Top Bottom