mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji23]Ahaa acha hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Ahaa acha hizo
Nimecheka kama chiziKuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.
Sms anajibu,story kwenye simu poa,kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.
Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki.
Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia,nikamfata mshkaji wangu anafanya kituo cha afya cha kata ninayoishi akanifunga POP mkononi na plasta kichwani nikapiga picha nikaambatansha na picha za mtandaoni za lile basi baafa ya kupata ajali.nikamtumia mrembo.
Mchaga wa watu masikini akanipigia simu nikamwambia nimeruhusiwa niko home.
Akasema nielekeze nakuja
Dakika chache mtu huyu hapa na fuko la matunda.nikamwambia kama sio Mungu ningekufa huku naugulia maumivu fake,nikamkumbuka marehemu bibi yangu nikajikamua machozi haua hapa.
Akajichanganya tu akanisogelea...nilimvuta nikambusu nikampa show moja ya kibabe akabaki kujiuliza huyu ni majeruhi wa aina gani.
Nilipeleka moto sijawahi tangu nizaliwe.
Kuanzia siku hiyo akawa mpenzi wangu ma hiyo siri hakuwahi kujua labda aisome humu.
Wasiodumu wote hawakutolewa bikra au walikataliwa na waliowatoa bikra. Achana na expectations, yeye atoe hiyo bikra akiwa mwanamke poa sawa asipokuwa atafute mwingine.Mtafute tena,ni rahisi kudumu kwenye mahusiano na mwanamke uliyemtoa bikra,usikubari wahuni wakuzidi ujanja
Hata msipooana ila wanawake huwa hawasahau waliowatoa bikra hata ipite miaka elfu mojaWasiodumu wote hawakutolewa bikra au walikataliwa na waliowatoa bikra. Achana na expectations, yeye atoe hiyo bikra akiwa mwanamke poa sawa asipokuwa atafute mwingine.
Binadamu hawasahu vitu vingi. Hata mara yako ya kwanza kupata ajali hutaisahau, haimaanishi kwamba ile ajali ina umuhimu sana kwako. Ndo maana nasema yeye atimize afanye yake bila expectations.Hata msipooana ila wanawake huwa hawasahau waliowatoa bikra hata ipite miaka elfu moja
Ahaaa kweli lakiniBinadamu hawasahu vitu vingi. Hata mara yako ya kwanza kupata ajali hutaisahau, haimaanishi kwamba ile ajali ina umuhimu sana kwako. Ndo maana nasema yeye atimize afanye yake bila expectations.
Expectations ndo zinaleta commitment za kipuuzi na mwishowe unaamini upo deep in love na uwekezaji unakolea na ndo ukisalitiwa unalia lia kama nguruwe aliyeshindia zege badala ya pumba.
Hata wewe usingechomoka,ungeliwa tu,kwa mkapa hatokagi mtu ahaaaKumbe ni wewe mbuzi ndio ulifanya ushenzi KWA shoga yangu mania?? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Kwa mkapa ni wapi??Hata wewe usingechomoka,ungeliwa tu,kwa mkapa hatokagi mtu ahaaa
Siku hiyo ungekua kwenye vyombo vya habar vyoote vya africa mashariki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata wewe usingechomoka,ungeliwa tu,kwa mkapa hatokagi mtu ahaaa
Ahaa ina ACSiku hiyo ungekua kwenye vyombo vya habar vyoote vya africa mashariki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NikuelekezeKwa mkapa ni wapi??
Hii kauli wengi walikuwa wanasema sana kipindi bado nauguza vidonda eti ukianza kufanya mapenzi sitapona hivyo vidondaNdio maana madonda yenu hayaponagi haraka.
HahahaKwa mkapa ni wapi??
NielekezeNikuelekeze
Ina heaterAhaa ina AC
Hahahaaa had machozi kulioia papuchi
Machozi ni limbwata ,wanawake wanahuruma sana akiona machozi ya mwanaume nguvu zinamuishaHahahaaa had machozi kulioia papuchi
Haujionei huruma[emoji23]Hii kauli wengi walikuwa wanasema sana kipindi bado nauguza vidonda eti ukianza kufanya mapenzi sitapona hivyo vidonda
Aaah!!wapi nilichakata mbususu za wasalimiaje wa kike wanne kwa nyakati tofauti na vidonda vilikuwa vinaendelea vizuri tu na nilipona kwa wakati mawardat
Ni imani tu wala hakuna uhusiano wowote ule wa vidonda na mbususu mkuu wangu[emoji3]