- Thread starter
- #61
Wacha wee,tutaunguzana sasaIna heater
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee,tutaunguzana sasaIna heater
Wala usije na matunda we njoo tu mwenyewe ahaa njoo PM nikupe live locationNielekeze
Nijionee huruma mbele ya utamu mawardat [emoji3]Haujionei huruma[emoji23]
Basi sio lazima.Wala usije na matunda we njoo tu mwenyewe ahaa njoo PM nikupe live location
Utajua hujui [emoji1787][emoji1787]Wacha wee,tutaunguzana sasa
EbwanaeeUtajua hujui [emoji1787][emoji1787]
Kwa nn nisiwezeUtaweza?
Siku ya Simba day ntakupitia twende kwa Mkapa,uwanja wa Taifa ndio kwa mkapa mama,Simba tuna msemo wetu wa kutisha timu pinzani kuwa kwa Mkapa huvhomoki lazima ufungwe tu,Basi sio lazima.
Weye ni mahabusu unayesubiri kusikiliza kesi yako mahakamani.Weye ni mbakaji.Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.
Sms anajibu,story kwenye simu poa,kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.
Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki.
Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia,nikamfata mshkaji wangu anafanya kituo cha afya cha kata ninayoishi akanifunga POP mkononi na plasta kichwani nikapiga picha nikaambatansha na picha za mtandaoni za lile basi baafa ya kupata ajali.nikamtumia mrembo.
Mchaga wa watu masikini akanipigia simu nikamwambia nimeruhusiwa niko home.
Akasema nielekeze nakuja
Dakika chache mtu huyu hapa na fuko la matunda.nikamwambia kama sio Mungu ningekufa huku naugulia maumivu fake,nikamkumbuka marehemu bibi yangu nikajikamua machozi haua hapa.
Akajichanganya tu akanisogelea...nilimvuta nikambusu nikampa show moja ya kibabe akabaki kujiuliza huyu ni majeruhi wa aina gani.
Nilipeleka moto sijawahi tangu nizaliwe.
Kuanzia siku hiyo akawa mpenzi wangu ma hiyo siri hakuwahi kujua labda aisome humu.
Ooooooh kumbe[emoji23]Siku ya Simba day ntakupitia twende kwa Mkapa,uwanja wa Taifa ndio kwa mkapa mama,Simba tuna msemo wetu wa kutisha timu pinzani kuwa kwa Mkapa huvhomoki lazima ufungwe tu,
Ndio gheto langu ukiingia hutoki lazima uliwe tu
Jiandae ntakukumbusha a week before twenzetu kwa MkapaOoooooh kumbe[emoji23]
Sumba oyeeeeeee
Wakati huyo mhanga mpaka leo niko nae na Mungu akipenda ubwabwa utaliwaWeye ni mahabusu unayesubiri kusikiliza kesi yako mahakamani.Weye ni mbakaji.
Nipo mwembe kwa mnyamani hapa usisahauJiandae ntakukumbusha a week before twenzetu kwa Mkapa
Jinai huwa haifariki.Hata mume akimbaka mke anapelekwa "getto" kupumzika.Weye ni mahabusu tu.Wakati huyo mhanga mpaka leo niko nae na Mungu akipenda ubwabwa utaliwa
Labda kwa wazungu sio bongo njoo huku kiabakari uone vibinti vya 17yrs vina mimba au mtotoJinai huwa haifariki.Hata mume akimbaka mke anapelekwa "getto" kupumzika.Weye ni mahabusu tu.
Anasoma muhas?Daaah, mwezi wa 7 huu nimeshindwa kuvunja bikra kwa demu ambaye nampenda sana,
sababu ya kushindwa ni majirani kupita pita jirani na getto, lakini pia niseme tu alinishinda nguvu,
Juzi tu tumeachana hapa stress ninazo nyingi nawaza atakaye muokota atajipatia dodo chini ya mparachichi,
Roho inaniuma kwakweli sijui nilishindwaje mimi mtoto wa gongolamboto mwisho wa lami, ulongoni B😪😪😪😰😰😰😰😰😰