Alipokuja papa Paul wa pili nchini, aliiweka hii nchi chini ya Bikra Maria ndo maana nchi ina baraka tele

Alipokuja papa Paul wa pili nchini, aliiweka hii nchi chini ya Bikra Maria ndo maana nchi ina baraka tele

Wewe unafahamu kama Maria alikuwa na watoto wengne? Ukiachana na Yesu nijibu Hilo swali kwanza na kama hujui basi tusibishane soma Biblia kwanza uimalize mwanzo Hadi ufunuo walau mara 3 ndio ulete hoja mezani

Bila shaka utakuwa ni roman mnakasumba Moja yakutotaka kujua ukweli mmebaki na habari mlizopewa na hamtak kujifunza

Leo nakupa swali fikirishi na usinijibu ila Lile la juu kuhus maria kuwa na watoto wengne nijibu

Swali: Kama Maria unafikiri anastahiri kuwaombea na ananafas kubwa kubwa mlizompa kilikuwa na haja gani ya kuzaliwa Yesu kwanini asingeachwa yeye maana Kwa Roman mambo yote yapo chini yake. ?
Kuna aina tatu za heshima ..
1. Kuabudiwa.. hii ni ya Mungu tu na nafsi zake zote tatu
2. Hyperdulia - Hii ni ya Bikira maria Tu, Imagine alimbeba Mungu mwilini aka mvalisha nepi, aka mnyonyesha. yeye ni sanduku la agano. Yeye ni mtakatifu zaidi baada ya Mungu
3. dulia.. hii ya watakatifu wengine, akina Musa, Elia, Yakobo etc.

Maria haabudiwi, ila anapewa heshima kubwa sana..
Ilikuwa ni mpango wa Mungu kumtuma Yesu aje kuwa sadaka pale msalabani .

Wakatiliki hawamuombi maria kwamba atoe yeye msaada ila awaombee kwa mwanaye.. na kea vile ni mtakatifu sana mwenye hadhi ya nyota kumi na mbili na chapa ya Hyperdulia, basi maombi yanayopitia kwake kwenda kwa Yesu. yanakuwa na connection tayari..
 
Kweli ww ndio kabisa Bora Hata mleta mada soma comment zangu zote nmekupa Hadi watoto wengine ambao maria alizaa halaf unakuja kuniambia bikra ni kitu sio Hali may you define the term Virgin? Halaf Baki na majibu yako
Mkuu, ukitaka ku challenge kanisa katoliki usitumie Biblia.. elewa wao ndiyo wali kuamlia vitu vya wewe kusoma, ndiyo wali ingiza hiyo mistari ya biblia, na ndiyo wana jua utofauti wa lugha... hao watoto una wasema uki rudi kwenye biblia za zamani kwa lugha yake ya asili wale walikuwa ni binamu zake.. watoto wa mjomba ake.. Pia tumia logic kama yesu alikuwa na kaka au dada ilikuwaje pale msalabani aka mkabidhi mama ake kwa mshkaji wake.. kwa nn asimwache na ndugu zake wengine..

Biblia ime pitia mikono mingi na lugha nyingi kwa miaka na mikaka.. siyo reference nzuri uki taka ku challenge chochote kinacho fanywa na kanisa
 
Kuna aina tatu za heshima ..
1. Kuabudiwa.. hii ni ya Mungu tu na nafsi zake zote tatu
2. Hyperdulia - Hii ni ya Bikira maria Tu, Imagine alimbeba Mungu mwilini aka mvalisha nepi, aka mnyonyesha. yeye ni sanduku la agano. Yeye ni mtakatifu zaidi baada ya Mungu
3. dulia.. hii ya watakatifu wengine, akina Musa, Elia, Yakobo etc.

Maria haabudiwi, ila anapewa heshima kubwa sana..
Ilikuwa ni mpango wa Mungu kumtuma Yesu aje kuwa sadaka pale msalabani .

Wakatiliki hawamuombi maria kwamba atoe yeye msaada ila awaombee kwa mwanaye.. na kea vile ni mtakatifu sana mwenye hadhi ya nyota kumi na mbili na chapa ya Hyperdulia, basi maombi yanayopitia kwake kwenda kwa Yesu. yanakuwa na connection tayari..
Unaweza ukaja na andiko maana Bibilia Huwa inatoa majibu yenyewe , nataka andiko linaloonyesha anapaswa kufanyiwa hivyo au kuombwa yeye akawaombee Kwa anayefuata , yan in short nataka hiyo idea ya yeye kuwa mtu kati mmeitoa wap kwenye Biblia full stop usiandike tu .mm naweza kukuonyesha Biblia imetoa mwongozo nani wa kuombwa direct sasa nataka hiki ulichosema naww ulithibitishe ni hvyo tu
 
Nonsence kabisa,bikra maria mwanamke wa mashariki ya mbali hawezi kuwa na mafungamano na mtu mweusi,huo ni ujinga kabisa,nyie ndo mnaoamini kuwa mnatoka katika uzao wa adam na hawa ,eti ninyi ni kizazi kimoja na waarabu,wazungu,wahindi ,wachina nk, wthat a fucck!!

Mwafrika kiumbe wa ajabu sana,unajinasibisha na mtu ambae hata vipimo vya DNA haviendani nawewe
 
Mkuu, ukitaka ku challenge kanisa katoliki usitumie Biblia.. elewa wao ndiyo wali kuamlia vitu vya wewe kusoma, ndiyo wali ingiza hiyo mistari ya biblia, na ndiyo wana jua utofauti wa lugha... hao watoto una wasema uki rudi kwenye biblia za zamani kwa lugha yake ya asili wale walikuwa ni binamu zake.. watoto wa mjomba ake.. Pia tumia logic kama yesu alikuwa na kaka au dada ilikuwaje pale msalabani aka mkabidhi mama ake kwa mshkaji wake.. kwa nn asimwache na ndugu zake wengine..

Biblia ime pitia mikono mingi na lugha nyingi kwa miaka na mikaka.. siyo reference nzuri uki taka ku challenge chochote kinacho fanywa na kanisa
Nmetumia Biblia kwasab mleta mada amemuongelea muhusika kwa muktadha wa Biblia ila kiufupi nina vitabu vingi vyenye Siri nying ambazo Hata kweny Bible hazipo,

nna Hadi kitabu kinachoeleza maisha ya Yesu kabla hajaanza huduma yaani Ile age ya before 30 ambayo Ndio alianza kitumika alikuwa wapi na kwann bible haijasema

Kinaitwa Jesus before the gospel

Nina kitabu kinachoelezea makosa kama yote ya ndani ya Biblia na Siri mbalimbali kwann bible ilibadirishwa

The secret behind who changed the Bible

Kwa kifup Nina mengi juu ya hoja hizi ila nmemjibu muhusika kwa nadharia aliyoleta kwamba taifa liko salama kwamba maria sijui kafanya nini kule ni kutokuelewa ulimwengu wa Roho unavyofanya kazi.

Hebu siku kemea Pepo sema kwa jina la Bikira maria halaf mwingne aseme kwa jina la Yesu utajua Kuna code Gani ipo hapo
 
Wewe ndo una tatizo mkuu kwa sababu ulipaswa kujua kwamba he is just joking
Usiwe kama kiazi ,mleta mada yupo serious,jaribu kusoma baadhi ya komenti zake utaelewa how low minded he is.
 
Unaweza ukaja na andiko maana Bibilia Huwa inatoa majibu yenyewe , nataka andiko linaloonyesha anapaswa kufanyiwa hivyo au kuombwa yeye akawaombee Kwa anayefuata , yan in short nataka hiyo idea ya yeye kuwa mtu kati mmeitoa wap kwenye Biblia full stop usiandike tu .mm naweza kukuonyesha Biblia imetoa mwongozo nani wa kuombwa direct sasa nataka hiki ulichosema naww ulithibitishe ni hvyo tu
Mwongozo upo pale kwenye Harusi ya Kana . Yesu alikuwa asha watolea nje. ila kwa ushawishi wa mama Akakubali kufanya miujiza.. otherwise sehemu nyingine ni mapokeo na apparitions mbalimbali za Bikira Maria (mfano alipo watokea watoto wa Fatima)..
 
Yule Papa alipokuja wapare wakamuomba akifika Mbinguni akafute amri ya kuzini.
Dah kwamba wapare sisi n kupelekeana moto tuu?
Mathayo 13:
(Matthew)

55. Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?
Mkuu, hao ndugu sio wa kuzaliwa na Yesu tumbo moja ila n ndugu kwenye uzao wa upande wa Mariamu, yn Mariamu alikuwa na ndugu zake kama akina Magdalene na wengineo hao ndio wazazi wa hao uliowataja.
 
Daah Tanzania ina watu aisee hapo umewaza mpaka mwisho na kichwa kinataka kupasuka aisee...
 
Dah kwamba wapare sisi n kupelekeana moto tuu?

Mkuu, hao ndugu sio wa kuzaliwa na Yesu tumbo moja ila n ndugu kwenye uzao wa upande wa Mariamu, yn Mariamu alikuwa na ndugu zake kama akina Magdalene na wengineo hao ndio wazazi wa hao uliowataja.
Ushawahi kwenda shule ya theology mkuu ? Muulze mchungaji wako aliyefanikiwa kusoma walau ngazi ya cheti ya theology utajua kama hao ni ndugu wa ukoo au kuwazaa

Au unafikr Yusuph aliachana na Mariam? Maisha yaliendelea soma endelea kusoma elimu haina mwisho

Nyiny ndio mnaejuaga Adam alikuwa na watoto wawili tu kaini na habili
Na Ibrahim alibak mgane baada ya Sarah kufariki Hali ya kuwa alivuta jiko😂😂
Itoshe kusema haina haja ya kubishana elimu Haina mwsho jitahdi kusoma Bado Kuna mengi huyajui
 
Mwongozo upo pale kwenye Harusi ya Kana . Yesu alikuwa asha watolea nje. ila kwa ushawishi wa mama Akakubali kufanya miujiza.. otherwise sehemu nyingine ni mapokeo na apparitions mbalimbali za Bikira Maria (mfano alipo watokea watoto wa Fatima)..
Bado unajibu kwa kutokujua kwa undani juu ya majibu yako nkushauri ukipata muda na Akili ikiwa imetulia kasome upya hiyo Yohana 2:1->

Ukisoma utabaini vitu vifuatavyo
1: mama yake Yesu yaani maria kwenye hiyo sherehe yeye alikuwa ni muhusika na sio mwalikwa, utaliona Hilo mapema kwenye mstar wa kwanza kabisa.

2: Yesu yeye alikuwa ni mwalikwa katika sherehe.

Note:Kulipotokea kumepungukiwa na divai Mama yake kwakuwa ni miongoni mwa waandaaji wa hiyo sherehe ni yeye ndio alikwenda Kwa Yesu na sio kama ulivyosema kwamba Kuna waliokwenda Yesu akakataa then yeye kaja kumbembeleza angalia kwenye jibu lako.

Usitafsiri Biblia unavyotaka wewe kawaida yenyewe Huwa iko straight na ndio maana maandiko ambayo yanashida watu wanayabaini haraka na kuyawekea midaharo kwasb yapo wazi hakuna Kona Kona ,

na kama Kuna sehem kwenye hiyo sherehe ww umeona Kuna kikundi kilienda kutoa taarfa ya kutindikiwa na divai then Yesu kakataa Hadi akalazimika kwenda mama yake kionyeshe kipo kwenye mstar upi?
 
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Kwa nini unamuita bikira Maria wakati alikuwa na mume na watoto pia. Maandiko matakatifu yanatupa maisha halisi ya mama wa Yesu pale alipozaliwa hapa duniani.

Ndugu wa Yesu wanatajwa katika mistari kadhaa katika Biblia . Mathalani katika vitabu vya Injili vya Mathayo 12:46, Luka 8:19, na Marko 3:31. Aya zote hizi hudhihirisha ya kwamba mama Maria na ndugu zake Yesu waliishi katika Uyahudi nyakati za uhai wake hapa duniani.

Ndugu wanne wa kiume wanatajwa kuwa ni,Yakobo, Yusufu, Simioni na Yuda (Mathayo 13:55). Biblia pia inatuambia kwamba Yesu alikuwa na dada wa damu katika kuzaliwa (umbu), lakini wao hawajatajwa majina (Mathayo 13:56).

Hizi dini hizi 🙌 zinatulisha matango pori kwa wingi sana kwa kutupa mafundisho ya kimapokeo yenye falsafa za kipagani. Kazi ya ukombozi wa ulimwengu ikiwemo chanzo cha baraka ni Bwana Yesu Kristo pekee, kamwe hakuikasimisha kazi kazi hii ya ki-Mungu kwa mwanadamu awaye yeyote yule.
 
Utakuwa na matatizo ya Akili wewe ..
 
Kwa nini unamuita bikira Maria wakati alikuwa na mume na watoto pia. Maandiko matakatifu yanatupa maisha halisi ya mama wa Yesu pale alipozaliwa hapa duniani.

Ndugu wa Yesu wanatajwa katika mistari kadhaa katika Biblia . Mathalani katika vitabu vya Injili vya Mathayo 12:46, Luka 8:19, na Marko 3:31. Aya zote hizi hudhihirisha ya kwamba mama Maria na ndugu zake Yesu waliishi katika Uyahudi nyakati za uhai wake hapa duniani.

Ndugu wanne wa kiume wanatajwa kuwa ni,Yakobo, Yusufu, Simioni na Yuda (Mathayo 13:55). Biblia pia inatuambia kwamba Yesu alikuwa na dada wa damu katika kuzaliwa (umbu), lakini wao hawajatajwa majina (Mathayo 13:56).

Hizi dini hizi 🙌 zinatulisha matango kwa kutupa mafundisho ya kimapokeo ya kipagani. Kazi ya ukombozi wa ulimwengu ni Bwana Yesu Kristo pekee, kamwe hakuikasimisha kazi kazi hii ya ki-Mungu kwa mwanadamu awaye yeyote yule.
Nioneshe mstari unaosema bikra maria alikuwa na watoto mbali na yesu mwanae
 
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Wewe si juzi tu ulikua unawakashifu Wakatoliki 😆😆👇

Back
Top Bottom