MLIMAWANYOKA
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 631
- 2,247
Kuna aina tatu za heshima ..Wewe unafahamu kama Maria alikuwa na watoto wengne? Ukiachana na Yesu nijibu Hilo swali kwanza na kama hujui basi tusibishane soma Biblia kwanza uimalize mwanzo Hadi ufunuo walau mara 3 ndio ulete hoja mezani
Bila shaka utakuwa ni roman mnakasumba Moja yakutotaka kujua ukweli mmebaki na habari mlizopewa na hamtak kujifunza
Leo nakupa swali fikirishi na usinijibu ila Lile la juu kuhus maria kuwa na watoto wengne nijibu
Swali: Kama Maria unafikiri anastahiri kuwaombea na ananafas kubwa kubwa mlizompa kilikuwa na haja gani ya kuzaliwa Yesu kwanini asingeachwa yeye maana Kwa Roman mambo yote yapo chini yake. ?
1. Kuabudiwa.. hii ni ya Mungu tu na nafsi zake zote tatu
2. Hyperdulia - Hii ni ya Bikira maria Tu, Imagine alimbeba Mungu mwilini aka mvalisha nepi, aka mnyonyesha. yeye ni sanduku la agano. Yeye ni mtakatifu zaidi baada ya Mungu
3. dulia.. hii ya watakatifu wengine, akina Musa, Elia, Yakobo etc.
Maria haabudiwi, ila anapewa heshima kubwa sana..
Ilikuwa ni mpango wa Mungu kumtuma Yesu aje kuwa sadaka pale msalabani .
Wakatiliki hawamuombi maria kwamba atoe yeye msaada ila awaombee kwa mwanaye.. na kea vile ni mtakatifu sana mwenye hadhi ya nyota kumi na mbili na chapa ya Hyperdulia, basi maombi yanayopitia kwake kwenda kwa Yesu. yanakuwa na connection tayari..