Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Malkia amekufa na umri gani? yule shetani wenu wa Chato hata umri wa Kibiblia hakufikisha.Muongo wewe.
Umelishwa maneno na mamluki, kueneza udhalimu. Wacha ugaidi.
Huyo mungu alikuwa wapi kumuokoa Malikia?
Tundu Lissu hawezi kuja kukuokoa ukipigwa na xpel.Kifo cha mwendazake mbwa magufuli kinadhihirisha ukuu wa Mungu dhidi ya wanadamu fedhuli.
Sisi biblia ya nini, kwa ni aliyandika ni binadamu tu, tena wale madhalimu au na hilo unabisha?Malkia amekufa na umri gani? yule shetani wenu wa Chato hata umri wa Kibiblia hakufikisha.
Ooh yeah.Mkuu umepata PHD now ?
Popote panapo kupendeza wewe.Sa hii Yuko Jehanamu
Yatima leo unaikana Biblia? mbona huyo Mrundi wenu shetani wa Chato alikuwa follower mzuri wa Biblia?Sisi biblia ya nini, kwa ni aliyandika ni binadamu tu, tena wale madhalimu au na hilo unabisha?
Kwa taarifa yako hakuna sehemu yeyote ile kwenye biblia yako inasema Chato kuna Shetani. Usitishe kadamnasi kwenye chaka la Mungu au Biblia haramia we
Mtashindwa na Ugaidi wenu huo
Kama Ni hivyo hata Yesu ni Ibilisi maana alikatishwa akiwa bado anaendelea na kazi. Ila kama Yesu yupo mbinguni basi atakuwa na msaidizi wake Magufuli.Bora Lissu yupo hai kuliko ibilisi Magufuli muuaji. Imekuuma Sana Lissu kuwa hai na Magufuli kufa. Eti mbinguni, mbinguni hawaingii wauaji. Mmebakia na hasira ya kuutukana Lissu ila ukweli mnaumia kumuona yupo hai na yule mpumbavu kafa.
Yesu alikufa na umri ganiMalikia wa Uingereza kafa kwa uzee. Jini wenu kiumri alikuwa bado, lkn kafa kwa roho mbaya yake tu
Msimdhihaki MunguIdadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba
Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta
Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata
Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa
Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Tundu Lissu amejuaje hayo? Manake ndiye aliyewatuma kuja na hayo mashambulizi, mwenyekiti wenu kawakataza na mambo yenu ya kitoto nyie mnanga'ng'ania tu Mbiguni Mungu Biblia.Wezi wa kura hawaendi mbinguni
Daktari wewe si ndio mwokozi wangu, wewe ndio uliokuja na biblia mkononi, mie niikane vipi?Yatima leo unaikana Biblia? mbona huyo Mrundi wenu shetani wa Chato alikuwa follower mzuri wa Biblia?
Una matatizo ambayo Mungu wako pekee yake ndiye mwenye uwezo wa kutatua.Yatima leo unaikana Biblia? mbona huyo Mrundi wenu shetani wa Chato alikuwa follower mzuri wa Biblia?
Magufuli alikuwa Mrundi fact.Daktari wewe si ndio mwokozi wangu, wewe ndio uliokuja na biblia mkononi, mie niikane vipi?
Uyatima umeniweka wewe ulioua Baba yangu Mamayangu bibi yangu Dada yangu na bado tu unanikaripia, hivi huoni wewe ni gaidi?
Biblia umeishika wewe, Bunduki umeshika wewe na bado tu unanisingizia nina Mungu mara Mrundi mara Shetani.....yaani una laana kiasi gani hadi kukosa hata matusi ya kunizima mimi? Haujiulizi hayo?
Utashindwa tuu Gaidi wewe
Sielewi unachobisha....Muongo wewe.
Umelishwa maneno na mamluki, kueneza udhalimu. Wacha ugaidi.
Huyo mungu alikuwa wapi kumuokoa Malikia?
pyu pyu pyu pyuMagufuli alikuwa Mrundi fact.
Magufuli ni shetani fact.
Magufuli alikuwa nduli na dhalimu fact.
Magufuli alikuwa muuwaji fact.
Sasa unataka kutuambia nini ewe kizazi cha nyoka?
Sukuma gang wahed, leo zamu ya nani kulinda kaburi la legase?
Prince Jr.pyu pyu pyu pyu
Hayo yote huwezi thibitisha katika mahakama yeyote ile, na najua inakuuma kweli kweli. pyu pyu pyu pyu....na ukimumunya pyu lol
Kwani kulinda makaburi yameanza leo? Unajua kwanini Malikia wa Uingereza kazikwa mara mbili-Fact
Kitakacho kunipungua ni nini kulinda Kaburi? zaidi ya wewe kuwa na wivu hujijui ulipotoka na unapoenda.
Sukuma ni kabila kubwa sana, huna nguvu, huna mbinu, na wala huna uwezo wowote ule, uwe wa maarifa, akili, vita, siasa, kuweza kuliteteresha. Huna! so go deal with it. I'm proud Sukuma and Tanzanian and there is absolutely nothing you can do about it....utabakia kuwa gaidi na utaishia gaidi.