PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi.

Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.

Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame.

Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking news. Na bado
 
Mayii! Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame. Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking new. Na bado
Mbona haueleweki mkuu ? mara uko upande wa Dola mara wanaharati yaani haueleweki.
 
Jasusi la mbinguni litatoa hotuba yake siku moja kabla ya muziki wa 9 D.
Nyie ndo mnaleta huo mtazamo kwamba hizi operations za kuwa against na dola zinaratibwa na watu wa upande mmoja wa imani ,eti Jasusi la mbinguni , kwahiyo hasira zote hizi kumbe viongozi wa dini wapo nyuma ya haya? Kwa maslahi ya waumini wapi na imani ipi au kundi gani ktk jamii? Je yanayosemwa hata kama hayana ukweli kwa sababu ya hawa watu mnao wapa uwezo mkubwa kwa ushabiki wa ki imani tu

Kwamba hamtaki kuona kiongozi wa imani nyingine (sijasema usafi wa huyo kiongozi) kwa kuamini nyie ndo mnasatahili zaidi na kutaka kupoka madaraka yake kwa sababu za haki au zingine ni za sirini ambazo ni ovu tu na ku amplify changamoto za uongozi kana kwamba dola zilizopita na hasa kabla yake nyuma kidogo ilikuwa safi

Nyie chekeeni huu mpasuko kwa kutaka kutetea imani badala ya maslahi mapana kama nchi mwishoe wote tutalia na mtaturudisha nyuma kwa hizi backward mentality zenu
 
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na ubalozi wa deshideshi.

Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.

Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame.

Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking new. Na bado
Hawawezi kumuona achilia mbali kumkamata huyo..

Huyo anaishi na ni raia wa ufalme Mkuu wa mbinguni...

Yuko chini ya ulinzi wa Mfalme wa wafalme wote mbinguni na duniani Yesu Kristo...

Ili wamkamate sharti, Mbingu itoe kibali. Lakini NURU na GIZA tangu lini zikapatana..?

Jasusi la mbinguni hakamatiki kirahisi na watumishi wa shetani maana imeandikwa👇

"MUNGU AKIWA UPANDE WETU, NI NANI ALIYE JUU YETU"
 
Back
Top Bottom