PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mim ni muislam kamili.

Muislam fake tu ndy atakubali kutawaliwa na huyu mama abduli.

Muislam ni haram kuongozwa na mwanamke hv unalijua hilo?
Sio kwa mapinduzi na uasi dhidi ya mtawala na kuvunja amani. Kila mtu au kila kundi likidai haki na utu wao kwa maandamano na fujo na kuvunja amani, kutakalika?

Halafu wewe ni Muislam, Uislam umekufundisha nini kuhusiana na uovu wa mtawala? Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) katufundisha nini sisi kuhusiana na mtawala?
 
Mim ni muislam kamili.

Muislam fake tu ndy atakubali kutawaliwa na huyu mama abduli.

Muislam ni haram kuongozwa na mwanamke hv unalijua hilo?
Kama Muislamu tupe suggestions unataka utawaliwe na nani ?

Tusomeni dini yetu tusifuate mkumbo , kabla ya kwenda suala la kuongozwa na Mwanamke hivi haujui kuwa tunaongozwa Kidemokrasia ?

Uislamu unasemaje kuhusu uongozi wa Kidemokrasia ambao unaongozwa na matamanio ya Wanadamu ambao unaruhusu Pombe , miziki , kamari , ushoga na wanaweza kuweka chochote haramu na kukataza halali ilimradi tu watu wengi wachague na katiba iruhusu ?

Je , ukimtoa Mama utaweka Sharia Law na hakutakuwa na mfumo wa KiDemokrasia tena ambao ni mfumo wa Kishetani ?

Kuongozwa na Mwanamke si sawa Kiislamu vipi kuhusu kuongozwa na Kafiri ?

Je , Uislamu unaelekeza vipi kama ukitawaliwa na kiongozi Mwanamke ufanye Nini ?
 
Mim ni muislam kamili.

Muislam fake tu ndy atakubali kutawaliwa na huyu mama abduli.

Muislam ni haram kuongozwa na mwanamke hv unalijua hilo?

Allah Aniongoze mimi na wewe katika njia iliyonyooka.

Mtu asiye na sifa za kishari'ah za kuwa mtawala kisha ikatokea akawa mtawala wetu/akapata nguvu akatutawala tutamsikiliza na kumtii (katika yasiyo maasi).

Mtawala Muislam atatiiwa na atasikilizwa (katika yasiyo maasi) hata kama atakuwa ni muovu au hana sifa.

Kama mtawala kafiri tu haifai kumtoa kama kumtoa kutasababisha fitna na umwagaji wa damu na itapaswa kumsikiliza na kumtii katika yasiyo maasi itakuwa mtawala Mwanamke Muislam?

Mtawala Muislam atasikilizwa na atatiiwa hata kama ni muovu na hata kama hana sifa za kishari'ah.

Hudhayfah ibn al-Yaman reported: I asked, “O Messenger of Allah, we were living in an evil time and Allah brought us good in which we live now. Will there be evil after this good?” The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Yes.” I said, “And any good after this evil?” The Prophet said, “Yes.” I said, “And any evil after this good?” The Prophet said, “Yes.” I said, “How will it be?” The Prophet said, “After me, leaders will come who do not follow my guidance or my Sunnah. Some of their men will have the hearts of devils in a human body.” I said, “O Messenger of Allah, what should I do if I live to see that time?” The Prophet said, “You should listen and obey the ruler, even if he strikes your back and takes your wealth, even still listen and obey.”

Source: Ṣaḥīḥ Muslim 1847
 
Kumbuka sa100 sasa ni kapewa urais!
Kabla ya hapo kagombea urais na wanazuoni wengi wa kiislamu walimuunga mkono huoni Hilo ni tatizo kwa nyie viongozi wa dini?

Kama huyu kiongozi sa100 kaweza kukiuka Sheria ya Mungu kupitia maandiko matakatifu Quran je atashindwa vipi kuivunja katiba na kufanya vitu vya hovyo kama kuuwa wanadamu wenzake? Atashindwa vipi

Halafu Leo wapuuzi Fulani hv wanaojiita wanazuoni wa kiislamu wanataka amani wakati kiongozi mkuu wa nchi tayar kavunja msingi mkuu wa uongozi katika dini. Na bado wanampamba kwa maneno mazuri nakumuombea Dua kwa Allah,ambaye ameshadharau amri zake!

Nyie mnaojiita mashekh mnamatatizo vichwani.
 
Ga
Udini upo tena sana, ila ukifichuliwa na Waislam au Waislam wakiulalamikia inaonekana wao Waislam ndio wadini.

Waislam wakitaka Mahakama ya Kadhi halafu baadhi ya makanisa yakapiga kelele kupinga ijapokuwa Mahakama ya Kadhi haiwahusu wao inawahusu Waislam tu, lakini kwa chuki tu wanaipiga vita na kuizuia Serikali isikubali. Ila Waislam tunatulia tu tuko na Subra.

Ilipoombwa tujiunge na OIC likapingwa vikali hili. Ila Alhamdulillah, Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Makanisa yameingia mkataba na Serikali tokea 1992 wakipokea mabilioni ya walipa kodi ikiwemo Waislam. Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Mauaji ya Mwembechai Ijumaa ya tarehe 13, Mwezi wa Pili, mwaka 1998, ndugu zetu damu zao zilimwagwa mbele ya camera za vyombo vya habari. Msiba uliotokea siku ile pale Mwembechai ulikuwa ni kilele cha mnyororo wa matukio ambayo chanzo chake ni kauli isiyo na uthibitisho ya Padri Camilius Lwambano iliyotolewa tarehe 8, Mwezi wa pili, 1998, siku ya Jumapili katika Redio Tumaini alipodai alipita Siku ya Eid tarehe 29 Januari, 1998, katika Misikiti ya Mwembechai na Mtambani na akasikia Yesu akikashifiwa na akailaumu Serikali kwa kushindwa katika ahadi yake ya kuwadhibiti wahadhiri wa Kiislam wanaokashifu. Madai ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote. Siku ya Eid mwaka huo hakukuwa na mhadhara wowote wa Dini mbili katika Msikiti wa Mwembechai wala wa Mtambani. Maneno ya Padri Lwambano yalisababisha reaction kali ya mamlaka dhidi ya Waislam ambayo kilele chake kilikuwa ni mauaji ya Mwembechai, Allah Awasamehe na Awarehemu ndugu zetu wale waliouawa pale. Maneno ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote na yalikuwa ni uvumi tu ila mwisho damu za Waislam zilikuja kumwagwa kwa sababu yake. Lakini Waislam tuko na Subra na tumetulia.

Waislam wanalalamika sana kuhusu dhulma katika fursa za Elimu na dhulma katika sekta za Elimu ikiwemo dhulma dhidi ya Waislam kule Necta, mpaka baadhi ya Waislam waliandamana ila baadhi ya Masheikh walikuwa walipinga maandamano yale na kuwanasihi ndugu zao watulie. Alhamdulillah sasa Waislam wametulia na wako na Subra.

Na madai mengine mengi tu ya Waislam na dhulma nyengine nyingi tu dhidi ya Waislam. Ila Waislam tumetulia na tuko na Subra. Tunaihifadhi Amani yetu. Alhamdulillah Waislam wanazidi kuelewa Dini yao zaidi na wanasikiliza na kutii mamlaka na wanakuwa na Subra. Alhamdulillah.

Ila kila Waislam wakilalamika wanakuwa gaslighted kwa kuambiwa hawana akili na hawana shule. Na wanasakamwa kuwa wana udini.

Tuko na Subra.

Kama Udini unamaanisha Uislam basi mimi ni Mdini, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Sitocompromise Dini ili Lamomy na wenzie wafurahi. Sitoiacha Dini yangu. Namuomba Allah Anihifadhi na Anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.

Kuhusu damu kumwagika na mali kupotea nakuambia; Mkihifadhi Amani na kusikiliza mamlaka, si damu zenu na damu za wasio na hatia kama watoto zitanusurika?

Lakini nyinyi mlipanga kufanya fujo na mapinduzi zikamwagika damu za wenzenu na damu za watu wengi wasio na hatia yoyote.

Kuweni na subra, tulieni.
Gazeti kubwa ila limejaa pumba mwanzo mwisho. Kuna rais mstaafu hayati Mwinyi (muislam), kuna Kikwete Muislam hao wote walishindwa kukuletea hiyo mahakama ya kadhi na hiyo OIC yako si walakuwa na mamalaka kama maraisi walishindwa nini hadi ulaumu ukristo?
 
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi.

Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.

Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame.

Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking news. Na bado
Mimi nacho jua yupo ughaibuni nchi Sito itaja.

JASUSI LA MBINGUNI HALIWEZI KUWA HAPA.

VIVA BABA GWAJIMA.. ASUBUH KUMEPAMBAZUKA..
 
Kama Muislamu tupe suggestions unataka utawaliwe na nani ?

Tusomeni dini yetu tusifuate mkumbo , kabla ya kwenda suala la kuongozwa na Mwanamke hivi haujui kuwa tunaongozwa Kidemokrasia ?

Uislamu unasemaje kuhusu uongozi wa Kidemokrasia ambao unaongozwa na matamanio ya Wanadamu ambao unaruhusu Pombe , miziki , kamari , ushoga na wanaweza kuweka chochote haramu na kukataza halali ilimradi tu watu wengi wachague na katiba iruhusu ?

Je , ukimtoa Mama utaweka Sharia Law na hakutakuwa na mfumo wa KiDemokrasia tena ambao ni mfumo wa Kishetani ?

Kuongozwa na Mwanamke si sawa Kiislamu vipi kuhusu kuongozwa na Kafiri ?

Je , Uislamu unaelekeza vipi kama ukitawaliwa na kiongozi Mwanamke ufanye Nini ?
Huyu mwanamke anaye tutawala kwasasa ni muislamu huoni kama tyr kavunja Sheria za uislamu makusudi?
 
Kumbuka sa100 sasa ni kapewa urais!
Kabla ya hapo kagombea urais na wanazuoni wengi wa kiislamu walimuunga mkono huoni Hilo ni tatizo kwa nyie viongozi wa dini?

Kama huyu kiongozi sa100 kaweza kukiuka Sheria ya Mungu kupitia maandiko matakatifu Quran je atashindwa vipi kuivunja katiba na kufanya vitu vya hovyo kama kuuwa wanadamu wenzake? Atashindwa vipi

Halafu Leo wapuuzi Fulani hv wanaojiita wanazuoni wa kiislamu wanataka amani wakati kiongozi mkuu wa nchi tayar kavunja msingi mkuu wa uongozi katika dini. Na bado wanampamba kwa maneno mazuri nakumuombea Dua kwa Allah,ambaye ameshadharau amri zake!

Nyie mnaojiita mashekh mnamatatizo vichwani.

Na bado
 
Hata Yesu Kristo aliwindwa hivi hivi...

Kwa kuwa yeye alikuwa raia wa ufalme mwingine aliyekuja duniani kwa "special mission" kila jaribio la kumkamata na kufanya watakavyo lilishindikana na halikuwezekana

Daima alikuwa mbele ya wakati kwa MSAADA WA WA ROHO MTAKATIFU. Kila baya walilokuwa wakipanga juu yake, lilimfikia na mbingu kutoa maelekezo ya nini cha kufanya na afanyie wapi

Mfano Yesu Kristo alipozaliwa tu, Mfalme Herode kupitia mikutano yake ya Siri na serikali walipanga atafutwe huyo mtoto popote alipo kisha auwawe.

Mungu akatuma ujumbe kupitia malaika kuwaelekeza wawazi wa mtoto (Yusufu na Mariam Magdalena) kuwa waondoke hapo wakimbilie Misri (sehemu salama) ili kumponya mtoto Yesu Kristo asiuwawe kabla ya wakati wake

Kwa hiyo, kuhama hama sehemu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Gwajima kwa usalama wake, si kwa akili na uwezo au ujanja wake, bali ni kwa nguvu na uweza wa Mungu mwenyewe

Askofu Josephat Gwajima ana special mission toka juu Mbinguni kwa ajili ya nchi na taifa hili zuri la Tanganyika. Ni lazima aitekeleze na kwa hiyo hakuna kitakachomdhuru unless Mungu akiruhusu mwenyewe..

Hata kwa Yesu Kristo hakikuruhusiwa chochote kumdhuru hata pale alipowachana watawala waovu wa dunia kiasi cha kukasirika na kutafuta kumuua kila siku

Lakini iliwezekana tu kumkamata Yesu Kristo pale ambapo majira na nyakati zilizoruhusiwa na Mfalme wa Wafalme mwenyewe, Mungu Yehova muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake zilipofika na kutimia!

Get assured kuwa, hawataweza kufanya chochote kwa Askofu Josephat Gwajima. Na wewe ndugu October 2pm kama kweli unachokisema hapa ni sahihi, basi fahamu kuwa Mungu Yehova anakutumia kwa kujua au kutokujua ku - disseminate information kwa mlengwa no matter the means you're using!!
 
Mi ningekuwa mwanaharakati ningekuwa nakaa mikoa ya karibu na kutorokea nchi jirani, nyumba yangu ingekuwa na bunker natega camera main umbali wa mita 100 tokea uelekeo wa kwangu sehem ya kufanya harakati zangu inakuwa nje ya nyumba wakinifikia naingia ktk bunker la siri kama kuna escape naosha
 
Lazima uwe vizuri mfukoni.
 
Back
Top Bottom