Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Mtikila aliyekuwa na chuki dhidi ya Uislam na Waislam?Kubabake walahi washkaji tuingie road D9 kuikomboa Tanganyika ya mchungaji mtikila.
Mtikila aliyekuwa na chuki dhidi ya Uislam na Waislam?Kubabake walahi washkaji tuingie road D9 kuikomboa Tanganyika ya mchungaji mtikila.
Mama hafai, huyu mama hafai.Kubabake walahi washkaji tuingie road D9 kuikomboa Tanganyika ya mchungaji mtikila.
Majuzi mtu aliandika andiko la kumuambia Mzee Mwandambo ajifiche siku iliyofuata akachukuliwa Leo naliona andiko hili 😳yasije yakatokea tu 🙂↕️🙂↕️
Hivi wakishaniteka, nikiwaomba waniletee Ka mzinga watakataa?Weekend hii mkuu hakikisha unakunywa beer vzuri.
Maana huenda week ijayo ukachukuliwa wewe au mimi.
Tunyweni beer jamani angali tukiwa HURU 🤣
Hivi wakishaniteka, nikiwaomba waniletee Ka mzinga watakataa?
Aende ubalozi wa Marekani. Mamlaka hazitawezi kumchukua kwa lazima kwa sababu za kidiplomasiaKutoroka nje ni jambo gumu sana kwake. Kwa sababu akifika tu mpakani, atakamatwa.
Namkumbali sana Mpakwa Mafuta wa Yahwe, ingawa kama yupo nchini nitashangaa sana.
Mimi nitoea ombi atumie mbinu za Lissu akimbilie kwenye ubalozi wa nchi salama akaombe hifadhi
Ukweli ni kwamba hizi chokochoko zote ni katika vita dhidi ya Uislam na Waislam. Gwajima ni mtu mwenye chuki na Uislam na Waislam, alishawahi kuweka wazi kabisa chuki zake. Halafu nauliza hivi vurugu za Octoba 29 zilianzia wapi vile?
Katazame maneno ya anayejiita mchungaji Kabigumila na uchochezi wake wa vurugu, akichochea waziwazi kabisa.
Tarehe 9 tunamuondoa Madarakani MuuajiNa bado
Chuki za udini kivipi mkuu mbona wanatekwa na kupotezwa wa dini zote?Ukweli ni kwamba hizi chokochoko zote ni katika vita dhidi ya Uislam na Waislam. Gwajima ni mtu mwenye chuki na Uislam na Waislam, alishawahi kuweka wazi kabisa chuki zake. Halafu nauliza hivi vurugu za Octoba 29 zilianzia wapi vile?
Katazame maneno ya anayejiita mchungaji Kabigumila na uchochezi wake wa vurugu, akichochea waziwazi kabisa.
Hebu acha ucenge pumbavuUkweli ni kwamba hizi chokochoko zote ni katika vita dhidi ya Uislam na Waislam. Gwajima ni mtu mwenye chuki na Uislam na Waislam, alishawahi kuweka wazi kabisa chuki zake. Halafu nauliza hivi vurugu za Octoba 29 zilianzia wapi vile?
Katazame maneno ya anayejiita mchungaji Kabigumila na uchochezi wake wa vurugu, akichochea waziwazi kabisa.
Chuki za udini kivipi mkuu mbona wanatekwa na kupotezwa wa dini zote?
Kenge Mmoja weee, tarehe 9 imefika .
Hebu acha ucenge pumbavu
Tutolee udini wako hapa shetani weeeh!Kwani Gwajima hana chuki dhidi ya Uislam na Waislam? Kwani Kabigumila hakuchochea watu kufanya vurugu na kuchochea watu kuchoma nyumba za polisi na petrol station na baadhi ya mabasi ya mwendokasi tarehe 29? Uchochezi huu aliufanya tarehe 25.
Kwani vurugu hazikuanzia kanisani kwa Gwajima?