PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watu wameanza kupotea awamu hii sio?

Kwenye hiki kichaka cha "Kupigania haki" wanajifichia watu ambao tayari wana agenda zao, bahati mbaya kuna watu wengi ambao hawaelewi wanaongozwa na emotions wanawafuata tu mkumbo. Gwajima ambaye alikuwa mbunge aliyechaguliwa uchaguzi wa 2020 mbona hakupiga kelele wakati huo, why baada tu ya kuingia Samia akaanza kumpinga pinga kama alivyompinga Kikwete? Unajua "maandamano" ya Oct 29 yalianzia wapi?

Msiingie kichwa kichwa kwenye agenda za watu.

Kama watu wanapotea ndio mtawala apinduliwe? Mbona hawakuonesha kutaka kumpindua Magufuli?
Huyo unaemuita gwajima kama hakupiga kelele kipindi hiko niyeye na akili zake kamuulize yeye

Hiyo haitoi uhalali wa viongoz wasasa kuumiza watu

Sisi wapenda haki,utu na amani lazima tukatae uovu wote utakaofanya na mtawala
Uovu ni uovu tu haijalishi nani anafanya uovu

Huyu mama namchukia kwasabb anaendelea kuumiza watu kama watangulizi wake walivyo fanya mwanzo
 
Tutolee udini wako hapa shetani weeeh!
Mbona husemi waliotoa amri watu wauwawe?

Hujaona uhai wa watu waliokufa unawaza mali, haya uliibiwa nini wewe demu wa majini?

Hii tricky yenu ya udini imefeli, watanzania wamezalishana wakristu kwa waislamu. Na makabila kwa makabila. Washauri mabwana zako wasikilize wananchi wanachokitaka ndo pona yao.

Udini upo tena sana, ila ukifichuliwa na Waislam au Waislam wakiulalamikia inaonekana wao Waislam ndio wadini.

Waislam wakitaka Mahakama ya Kadhi halafu baadhi ya makanisa yakapiga kelele kupinga ijapokuwa Mahakama ya Kadhi haiwahusu wao inawahusu Waislam tu, lakini kwa chuki tu wanaipiga vita na kuizuia Serikali isikubali. Ila Waislam tunatulia tu tuko na Subra.

Ilipoombwa tujiunge na OIC likapingwa vikali hili. Ila Alhamdulillah, Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Makanisa yameingia mkataba na Serikali tokea 1992 wakipokea mabilioni ya walipa kodi ikiwemo Waislam. Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Mauaji ya Mwembechai Ijumaa ya tarehe 13, Mwezi wa Pili, mwaka 1998, ndugu zetu damu zao zilimwagwa mbele ya camera za vyombo vya habari. Msiba uliotokea siku ile pale Mwembechai ulikuwa ni kilele cha mnyororo wa matukio ambayo chanzo chake ni kauli isiyo na uthibitisho ya Padri Camilius Lwambano iliyotolewa tarehe 8, Mwezi wa pili, 1998, siku ya Jumapili katika Redio Tumaini alipodai alipita Siku ya Eid tarehe 29 Januari, 1998, katika Misikiti ya Mwembechai na Mtambani na akasikia Yesu akikashifiwa na akailaumu Serikali kwa kushindwa katika ahadi yake ya kuwadhibiti wahadhiri wa Kiislam wanaokashifu. Madai ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote. Siku ya Eid mwaka huo hakukuwa na mhadhara wowote wa Dini mbili katika Msikiti wa Mwembechai wala wa Mtambani. Maneno ya Padri Lwambano yalisababisha reaction kali ya mamlaka dhidi ya Waislam ambayo kilele chake kilikuwa ni mauaji ya Mwembechai, Allah Awasamehe na Awarehemu ndugu zetu wale waliouawa pale. Maneno ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote na yalikuwa ni uvumi tu ila mwisho damu za Waislam zilikuja kumwagwa kwa sababu yake. Lakini Waislam tuko na Subra na tumetulia.

Waislam wanalalamika sana kuhusu dhulma katika fursa za Elimu na dhulma katika sekta za Elimu ikiwemo dhulma dhidi ya Waislam kule Necta, mpaka baadhi ya Waislam waliandamana ila baadhi ya Masheikh walikuwa walipinga maandamano yale na kuwanasihi ndugu zao watulie. Alhamdulillah sasa Waislam wametulia na wako na Subra.

Na madai mengine mengi tu ya Waislam na dhulma nyengine nyingi tu dhidi ya Waislam. Ila Waislam tumetulia na tuko na Subra. Tunaihifadhi Amani yetu. Alhamdulillah Waislam wanazidi kuelewa Dini yao zaidi na wanasikiliza na kutii mamlaka na wanakuwa na Subra. Alhamdulillah.

Ila kila Waislam wakilalamika wanakuwa gaslighted kwa kuambiwa hawana akili na hawana shule. Na wanasakamwa kuwa wana udini.

Tuko na Subra.

Kama Udini unamaanisha Uislam basi mimi ni Mdini, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Sitocompromise Dini ili Lamomy na wenzie wafurahi. Sitoiacha Dini yangu. Namuomba Allah Anihifadhi na Anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.

Kuhusu damu kumwagika na mali kupotea nakuambia; Mkihifadhi Amani na kusikiliza mamlaka, si damu zenu na damu za wasio na hatia kama watoto zitanusurika?

Lakini nyinyi mlipanga kufanya fujo na mapinduzi zikamwagika damu za wenzenu na damu za watu wengi wasio na hatia yoyote.

Kuweni na subra, tulieni.
 
Sisi wapenda haki,utu na amani lazima tukatae uovu wote utakaofanya na mtawala
Uovu ni uovu tu haijalishi nani anafanya uovu

Sio kwa mapinduzi na uasi dhidi ya mtawala na kuvunja amani. Kila mtu au kila kundi likidai haki na utu wao kwa maandamano na fujo na kuvunja amani, kutakalika?

Halafu wewe ni Muislam, Uislam umekufundisha nini kuhusiana na uovu wa mtawala? Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) katufundisha nini sisi kuhusiana na mtawala?
 
Sijasoma, ila najua umeandika pumba tupu.!!
 
Watu wameanza kupotea awamu hii sio?

Kwenye hiki kichaka cha "Kupigania haki" wanajifichia watu ambao tayari wana agenda zao, bahati mbaya kuna watu wengi ambao hawaelewi wanaongozwa na emotions wanawafuata tu mkumbo. Gwajima ambaye alikuwa mbunge aliyechaguliwa uchaguzi wa 2020 mbona hakupiga kelele wakati huo, why baada tu ya kuingia Samia akaanza kumpinga pinga kama alivyompinga Kikwete? Unajua "maandamano" ya Oct 29 yalianzia wapi?

Msiingie kichwa kichwa kwenye agenda za watu.

Kama watu wanapotea ndio mtawala apinduliwe? Mbona hawakuonesha kutaka kumpindua Magufuli?
Wewe pimbi umejaa udini sana
 
Udini upo tena sana, ila ukifichuliwa na Waislam au Waislam wakiulalamikia inaonekana wao Waislam ndio wadini.

Waislam wakitaka Mahakama ya Kadhi halafu baadhi ya makanisa yakapiga kelele kupinga ijapokuwa Mahakama ya Kadhi haiwahusu wao inawahusu Waislam tu, lakini kwa chuki tu wanaipiga vita na kuizuia Serikali isikubali. Ila Waislam tunatulia tu tuko na Subra.

Ilipoombwa tujiunge na OIC likapingwa vikali hili. Ila Alhamdulillah, Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Makanisa yameingia mkataba na Serikali tokea 1992 wakipokea mabilioni ya walipa kodi ikiwemo Waislam. Waislam tumetulia na tuko na Subra.

Mauaji ya Mwembechai Ijumaa ya tarehe 13, Mwezi wa Pili, mwaka 1998, ndugu zetu damu zao zilimwagwa mbele ya camera za vyombo vya habari. Msiba uliotokea siku ile pale Mwembechai ulikuwa ni kilele cha mnyororo wa matukio ambayo chanzo chake ni kauli isiyo na uthibitisho ya Padri Camilius Lwambano iliyotolewa tarehe 8, Mwezi wa pili, 1998, siku ya Jumapili katika Redio Tumaini alipodai alipita Siku ya Eid tarehe 29 Januari, 1998, katika Misikiti ya Mwembechai na Mtambani na akasikia Yesu akikashifiwa na akailaumu Serikali kwa kushindwa katika ahadi yake ya kuwadhibiti wahadhiri wa Kiislam wanaokashifu. Madai ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote. Siku ya Eid mwaka huo hakukuwa na mhadhara wowote wa Dini mbili katika Msikiti wa Mwembechai wala wa Mtambani. Maneno ya Padri Lwambano yalisababisha reaction kali ya mamlaka dhidi ya Waislam ambayo kilele chake kilikuwa ni mauaji ya Mwembechai, Allah Awasamehe na Awarehemu ndugu zetu wale waliouawa pale. Maneno ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote na yalikuwa ni uvumi tu ila mwisho damu za Waislam zilikuja kumwagwa kwa sababu yake. Lakini Waislam tuko na Subra na tumetulia.

Waislam wanalalamika sana kuhusu dhulma katika fursa za Elimu na dhulma katika sekta za Elimu ikiwemo dhulma dhidi ya Waislam kule Necta, mpaka baadhi ya Waislam waliandamana ila baadhi ya Masheikh walikuwa walipinga maandamano yale na kuwanasihi ndugu zao watulie. Alhamdulillah sasa Waislam wametulia na wako na Subra.

Na madai mengine mengi tu ya Waislam na dhulma nyengine nyingi tu dhidi ya Waislam. Ila Waislam tumetulia na tuko na Subra. Tunaihifadhi Amani yetu. Alhamdulillah Waislam wanazidi kuelewa Dini yao zaidi na wanasikiliza na kutii mamlaka na wanakuwa na Subra. Alhamdulillah.

Ila kila Waislam wakilalamika wanakuwa gaslighted kwa kuambiwa hawana akili na hawana shule. Na wanasakamwa kuwa wana udini.

Tuko na Subra.

Kama Udini unamaanisha Uislam basi mimi ni Mdini, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Sitocompromise Dini ili Lamomy na wenzie wafurahi. Sitoiacha Dini yangu. Namuomba Allah Anihifadhi na Anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.

Kuhusu damu kumwagika na mali kupotea nakuambia; Mkihifadhi Amani na kusikiliza mamlaka, si damu zenu na damu za wasio na hatia kama watoto zitanusurika?

Lakini nyinyi mlipanga kufanya fujo na mapinduzi zikamwagika damu za wenzenu na damu za watu wengi wasio na hatia yoyote.

Kuweni na subra, tulieni.

Mkuu, Kwanza Nashukuru umeweka hoja zako Mezani, Sio porojo kama watu wengine.

Lkn kinachotushangaza wengine kuhusu ninyi ndugu zetu, Kila haki mnayo taka kuipambania ni kwa ajili ya kwenu waislamu, na hapa ndo mnazua hisia za UDINI kwa kujua au kwa kuto kujua.

Mafano, Kama kuna uonevu unafanyika NECTA ni kwanini mnapigania watu wenu tu katika jamii na sio makundi mengine? Hii inawafanya mnakosa uungwaji mkono

Kulikua na Mauaji Hayo ya Mwembe chai mwaka 1998 Yaliyo fanywa na Polisi kwa waandamanaji wa kiisramu, kwanini hasira zenu mnataka kuzielekeza kwa ndugu zenu wakristo badala ya Watu walio shika mamlaka? Hivi hamuoni kama hii serikali ya CCM ina waua wote tuuu kwa nyakati tofauti, wakristo kwa waislamu? Nini msingi wa nyinyi wananchi huku kugawanyika?

Umezungumzia Serikali kuingia mikataba na Taasisi za Dini, Nakuuliza Tena hizo Taasisi za Dini zinatoa Huduma za kijamii kama shule & Hospitali kwa jamii bila kubagua, kuna waislamu wengi tu wanapata huduma kwenye hizo Taasisi ambazo zinatoa huduma kwa niaba ya Serikali, Je ulitaka Serikali isichangie huduma za watu wake, Mtaweza gharama za hizo HUDUMA?

Juzi hapa serikali Imeua watu kwa mamia na maelfu, Watu walio andamana na kuuliwa na kukamatwa wapo waislamu na wakristo, ni kwanini lawama mnazielekeza kwa Wakristo badala ya Mamlaka? Inamaana waislamu wote walio kua wanaandamana pamoja na wakrisyo Hawana akili? Hawaijui DINI yao?

Mbona nyinyi mnachinja nyama kwenye public slaughter house kwa imani yenu nyinyi, lkn mbona wakristu wamenyamaza tu. Je hii kwenu ndo mnaita HAKI au Subra?

Tanzania HAKUNA UDINI, Udini unaletwa na viongozi wa DINI na viongozi wa Serikali kwa maslai yao ya wakati husika.

Sisi huku chini, Tunafanya biashara pamoja, Tunafanya mapenzi pamoja, Na kushirikiana kuzika na kila kitu bila kua na hisia za kidini, akisimama tu shekhe, au mchungaji au sijui kiongozi ndo hisia za kidini zinakuja.
 
Sio kwa mapinduzi na uasi dhidi ya mtawala na kuvunja amani. Kila mtu au kila kundi likidai haki na utu wao kwa maandamano na fujo na kuvunja amani, kutakalika?

Halafu wewe ni Muislam, Uislam umekufundisha nini kuhusiana na uovu wa mtawala? Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) katufundisha nini sisi kuhusiana na mtawala?

Huu utulivu mmeanza kuuhubiri lini? Mmesahau Zanzibar kipindi cha Maalim seif sio nyinyi mlio kua mnaandaman kila uchaguzi? Mpaka ikabidi kue na serikali ya mseto.

Vurugu za mwembe chai hazikuja baada ya maandamano? Haya maandamano ya JUZI yalikua ya wakristo ? Mbona ndugu zenu wengi waliandamana?

Kwann unaleta hisia za kidini kwa issue inayo ibaganza jamii?
 
Mkuu, Kwanza Nashukuru umeweka hoja zako Mezani, Sio porojo kama watu wengine.

Lkn kinachotushangaza wengine kuhusu ninyi ndugu zetu, Kila haki mnayo taka kuipambania ni kwa ajili ya kwenu waislamu, na hapa ndo mnazua hisia za UDINI kwa kujua au kwa kuto kujua.

Mafano, Kama kuna uonevu unafanyika NECTA ni kwanini mnapigania watu wenu tu katika jamii na sio makundi mengine? Hii inawafanya mnakosa uungwaji mkono

Kulikua na Mauaji Hayo ya Mwembe chai mwaka 1998 Yaliyo fanywa na Polisi kwa waandamanaji wa kiisramu, kwanini hasira zenu mnataka kuzielekeza kwa ndugu zenu wakristo badala ya Watu walio shika mamlaka? Hivi hamuoni kama hii serikali ya CCM ina waua wote tuuu kwa nyakati tofauti, wakristo kwa waislamu? Nini msingi wa nyinyi wananchi huku kugawanyika?

Umezungumzia Serikali kuingia mikataba na Taasisi za Dini, Nakuuliza Tena hizo Taasisi za Dini zinatoa Huduma za kijamii kama shule & Hospitali kwa jamii bila kubagua, kuna waislamu wengi tu wanapata huduma kwenye hizo Taasisi ambazo zinatoa huduma kwa niaba ya Serikali, Je ulitaka Serikali isichangie huduma za watu wake, Mtaweza gharama za hizo HUDUMA?

Juzi hapa serikali Imeua watu kwa mamia na maelfu, Watu walio andamana na kuuliwa na kukamatwa wapo waislamu na wakristo, ni kwanini lawama mnazielekeza kwa Wakristo badala ya Mamlaka? Inamaana waislamu wote walio kua wanaandamana pamoja na wakrisyo Hawana akili? Hawaijui DINI yao?

Mbona nyinyi mnachinja nyama kwenye public slaughter house kwa imani yenu nyinyi, lkn mbona wakristu wamenyamaza tu. Je hii kwenu ndo mnaita HAKI au Subra?

Tanzania HAKUNA UDINI, Udini unaletwa na viongozi wa DINI na viongozi wa Serikali kwa maslai yao ya wakati husika.

Sisi huku chini, Tunafanya biashara pamoja, Tunafanya mapenzi pamoja, Na kushirikiana kuzika na kila kitu bila kua na hisia za kidini, akisimama tu shekhe, au mchungaji au sijui kiongozi ndo hisia za kidini zinakuja.
Hongera kwa bandiko bora mkuu... Mwenyezi Mungu na akubariki sana. 🙏
 
Ukweli ni kwamba hizi chokochoko zote ni katika vita dhidi ya Uislam na Waislam. Gwajima ni mtu mwenye chuki na Uislam na Waislam, alishawahi kuweka wazi kabisa chuki zake. Halafu nauliza hivi vurugu za Octoba 29 zilianzia wapi vile?

Katazame maneno ya anayejiita mchungaji Kabigumila na uchochezi wake wa vurugu, akichochea waziwazi kabisa.
Gwajima nimecheki YouTube kauli zake za Zamani , nimejiridhisha jamaa ana chuki kubwa na Uislamu kupitia Maelezo.
 
Back
Top Bottom