PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
They got Gwajiboy...

IMG_20251108_133915_896.jpg
 
Gwajima ajitahidi atoroke kwenda nje ya nchi….kwa nguvu ya pesa waliyo nayo hawa watu…wanaweza wakamnasa siku si nyingi…Msaidieni uyo mtumishi atoroke nje
Kutoroka nje ni jambo gumu sana kwake. Kwa sababu akifika tu mpakani, atakamatwa.
 
Vichochoro vya kutorokea nje ya nchi vipo vingi Bongo… wajuzi wanavijua…nchi za Africa ni ngumu kuziba vichochoro…Marekani tu anaangaika na vichochoro vinavyotumiwa na wamexico sembuse uku Africa….ushasahau kile kichochoro walichokuwa wanatumia wale watu kutoka Msumbiji kupiga matukio uko Kusini…huu ni mfano tu
 
Bado shughuli ni pevu mpaka avifikie hivyo vichochoro. Wakimuotea tu, tayari atabakia kuwa ni historia.
 
Kabisa, mtihani ni kuvifikia, ndo maaana uwa nashangaa sana hawa wanaharakati kwann uwa wanajificha Dar….sehmu nzuri ni mikoa iliyo mipakani mwa nchi nyingine, ili kikinuka inakuwa rahisi kutoroka, na Pia ni rahisi hata kutumia mitandao ya nchi jirani kama ukiwa upo mipakani…nafikiri kama tukivuka hichi kipindi…information technology au computer science ianze kufindishwa shule za awali…tumepoteza watu wengi sana kwa kukosa haya maarifa.
 
Nyie ndo mnaleta huo mtazamo kwamba hizi operations za kuwa against na dola zinaratibwa na watu wa upande mmoja wa imani ,eti Jasusi la mbinguni , kwahiyo hasira zote hizi kumbe viongozi wa dini wapo nyuma ya haya? Kwa maslahi ya waumini wapi na imani ipi au kundi gani ktk jamii? Je yanayosemwa hata kama hayana ukweli kwa sababu ya hawa watu mnao wapa uwezo mkubwa kwa ushabiki wa ki imani tu

Kwamba hamtaki kuona kiongozi wa imani nyingine (sijasema usafi wa huyo kiongozi) kwa kuamini nyie ndo mnasatahili zaidi na kutaka kupoka madaraka yake kwa sababu za haki au zingine ni za sirini ambazo ni ovu tu na ku amplify changamoto za uongozi kana kwamba dola zilizopita na hasa kabla yake nyuma kidogo ilikuwa safi

Nyie chekeeni huu mpasuko kwa kutaka kutetea imani badala ya maslahi mapana kama nchi mwishoe wote tutalia na mtaturudisha nyuma kwa hizi backward mentality zenu
Huwezi kuficha religious biasness yako. Kwani kuwa jasusi la mbinguni kuna dini fulani tu ndio wanakuwa majasusi ila dini nyingine haziwezi kuwa majasusi wa mbinguni? Nadhani hujui maana ya jasusi wa mbinguni. Mungu haangalii hzi man made religion my friend! DINI ILIYOSAFI MBELE ZA MUNGU NI KUTENDA MEMA YANAYOMPENDEZA MUNGU MWENYEWE NA WANADAMU PIA. KWA MUNGU HAKUNA UKRISTO AU UISLAMU.
 
Nyumbu huwa mnajifanya mnataarifa nyingi mwisho mmesababisha wakulima waogope kulima mashamba yao maana yule nyumbu aliepenya kule CNN akiona shamba limepaliliwa anasema ni kaburi la halaiki
 
Achilia mbali nguvu ya pesa walionayo na nguvu ya majini kila mmoja keshapewa majini 20 yanakula damu tuu kiongozi ni haji
 
Nyie ndo mnaleta huo mtazamo kwamba hizi operations za kuwa against na dola zinaratibwa na watu wa upande mmoja wa imani ,eti Jasusi la mbinguni , kwahiyo hasira zote hizi kumbe viongozi wa dini wapo nyuma ya haya? Kwa maslahi ya waumini wapi na imani ipi au kundi gani ktk jamii? Je yanayosemwa hata kama hayana ukweli kwa sababu ya hawa watu mnao wapa uwezo mkubwa kwa ushabiki wa ki imani tu

Kwamba hamtaki kuona kiongozi wa imani nyingine (sijasema usafi wa huyo kiongozi) kwa kuamini nyie ndo mnasatahili zaidi na kutaka kupoka madaraka yake kwa sababu za haki au zingine ni za sirini ambazo ni ovu tu na ku amplify changamoto za uongozi kana kwamba dola zilizopita na hasa kabla yake nyuma kidogo ilikuwa safi

Nyie chekeeni huu mpasuko kwa kutaka kutetea imani badala ya maslahi mapana kama nchi mwishoe wote tutalia na mtaturudisha nyuma kwa hizi backward mentality zenu

Ukweli ni kwamba hizi chokochoko zote ni katika vita dhidi ya Uislam na Waislam. Gwajima ni mtu mwenye chuki na Uislam na Waislam, alishawahi kuweka wazi kabisa chuki zake. Halafu nauliza hivi vurugu za Octoba 29 zilianzia wapi vile?

Katazame maneno ya anayejiita mchungaji Kabigumila na uchochezi wake wa vurugu, akichochea waziwazi kabisa.
 
Back
Top Bottom