October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Nasubiri atoe jibu. Maana Mganga alianza kuwa Mchawi kwanza.😀Wewe umejuaje alikuwa maeneo yote hayo ?
Huyu anawavesha kambaKubabake walahi washkaji tuingie road D9 kuikomboa Tanganyika ya mchungaji mtikila.
Swali la hovyo sana hili humu jamvin labda kama ndo wahuni wenuewe. 🤣🤣🤣Wewe umejuaje alikuwa maeneo yote hayo ?
Mbona haueleweki mkuu ? mara uko upande wa Dola mara wanaharati yaani haueleweki.Mayii! Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame. Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking new. Na bado
Nyie ndo mnaleta huo mtazamo kwamba hizi operations za kuwa against na dola zinaratibwa na watu wa upande mmoja wa imani ,eti Jasusi la mbinguni , kwahiyo hasira zote hizi kumbe viongozi wa dini wapo nyuma ya haya? Kwa maslahi ya waumini wapi na imani ipi au kundi gani ktk jamii? Je yanayosemwa hata kama hayana ukweli kwa sababu ya hawa watu mnao wapa uwezo mkubwa kwa ushabiki wa ki imani tuJasusi la mbinguni litatoa hotuba yake siku moja kabla ya muziki wa 9 D.
Atakua rango huyu ana hasira za kutemeshwa kitumbua 🤣🤣🤣Mbona haueleweki mkuu ? mara uko upande wa Dola mara wanaharati yaani haueleweki.
"Na bado" unamaanisha nini?Na bado
Yamkini ana connection na watu wanaomfuatilia au yupo kwenye hicho kitengo lakini anapenda haki.Utawala wa Samia umegawanyika na huo ndio ushindi wetu.Wewe umejuaje alikuwa maeneo yote hayo ?
Hawawezi kumuona achilia mbali kumkamata huyo..Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na ubalozi wa deshideshi.
Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.
Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame.
Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking new. Na bado