Sio kwa mapinduzi na uasi dhidi ya mtawala na kuvunja amani. Kila mtu au kila kundi likidai haki na utu wao kwa maandamano na fujo na kuvunja amani, kutakalika?
Halafu wewe ni Muislam, Uislam umekufundisha nini kuhusiana na uovu wa mtawala? Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) katufundisha nini sisi kuhusiana na mtawala?
Kama Muislamu tupe suggestions unataka utawaliwe na nani ?Mim ni muislam kamili.
Muislam fake tu ndy atakubali kutawaliwa na huyu mama abduli.
Muislam ni haram kuongozwa na mwanamke hv unalijua hilo?
Mim ni muislam kamili.
Muislam fake tu ndy atakubali kutawaliwa na huyu mama abduli.
Muislam ni haram kuongozwa na mwanamke hv unalijua hilo?
Gwajima nimecheki YouTube kauli zake za Zamani , nimejiridhisha jamaa ana chuki kubwa na Uislamu kupitia Maelezo.
Gazeti kubwa ila limejaa pumba mwanzo mwisho. Kuna rais mstaafu hayati Mwinyi (muislam), kuna Kikwete Muislam hao wote walishindwa kukuletea hiyo mahakama ya kadhi na hiyo OIC yako si walakuwa na mamalaka kama maraisi walishindwa nini hadi ulaumu ukristo?Udini upo tena sana, ila ukifichuliwa na Waislam au Waislam wakiulalamikia inaonekana wao Waislam ndio wadini.
Waislam wakitaka Mahakama ya Kadhi halafu baadhi ya makanisa yakapiga kelele kupinga ijapokuwa Mahakama ya Kadhi haiwahusu wao inawahusu Waislam tu, lakini kwa chuki tu wanaipiga vita na kuizuia Serikali isikubali. Ila Waislam tunatulia tu tuko na Subra.
Ilipoombwa tujiunge na OIC likapingwa vikali hili. Ila Alhamdulillah, Waislam tumetulia na tuko na Subra.
Makanisa yameingia mkataba na Serikali tokea 1992 wakipokea mabilioni ya walipa kodi ikiwemo Waislam. Waislam tumetulia na tuko na Subra.
Mauaji ya Mwembechai Ijumaa ya tarehe 13, Mwezi wa Pili, mwaka 1998, ndugu zetu damu zao zilimwagwa mbele ya camera za vyombo vya habari. Msiba uliotokea siku ile pale Mwembechai ulikuwa ni kilele cha mnyororo wa matukio ambayo chanzo chake ni kauli isiyo na uthibitisho ya Padri Camilius Lwambano iliyotolewa tarehe 8, Mwezi wa pili, 1998, siku ya Jumapili katika Redio Tumaini alipodai alipita Siku ya Eid tarehe 29 Januari, 1998, katika Misikiti ya Mwembechai na Mtambani na akasikia Yesu akikashifiwa na akailaumu Serikali kwa kushindwa katika ahadi yake ya kuwadhibiti wahadhiri wa Kiislam wanaokashifu. Madai ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote. Siku ya Eid mwaka huo hakukuwa na mhadhara wowote wa Dini mbili katika Msikiti wa Mwembechai wala wa Mtambani. Maneno ya Padri Lwambano yalisababisha reaction kali ya mamlaka dhidi ya Waislam ambayo kilele chake kilikuwa ni mauaji ya Mwembechai, Allah Awasamehe na Awarehemu ndugu zetu wale waliouawa pale. Maneno ya Padri Lwambano hayakuwa na uthibitisho wowote na yalikuwa ni uvumi tu ila mwisho damu za Waislam zilikuja kumwagwa kwa sababu yake. Lakini Waislam tuko na Subra na tumetulia.
Waislam wanalalamika sana kuhusu dhulma katika fursa za Elimu na dhulma katika sekta za Elimu ikiwemo dhulma dhidi ya Waislam kule Necta, mpaka baadhi ya Waislam waliandamana ila baadhi ya Masheikh walikuwa walipinga maandamano yale na kuwanasihi ndugu zao watulie. Alhamdulillah sasa Waislam wametulia na wako na Subra.
Na madai mengine mengi tu ya Waislam na dhulma nyengine nyingi tu dhidi ya Waislam. Ila Waislam tumetulia na tuko na Subra. Tunaihifadhi Amani yetu. Alhamdulillah Waislam wanazidi kuelewa Dini yao zaidi na wanasikiliza na kutii mamlaka na wanakuwa na Subra. Alhamdulillah.
Ila kila Waislam wakilalamika wanakuwa gaslighted kwa kuambiwa hawana akili na hawana shule. Na wanasakamwa kuwa wana udini.
Tuko na Subra.
Kama Udini unamaanisha Uislam basi mimi ni Mdini, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.
Sitocompromise Dini ili Lamomy na wenzie wafurahi. Sitoiacha Dini yangu. Namuomba Allah Anihifadhi na Anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.
Kuhusu damu kumwagika na mali kupotea nakuambia; Mkihifadhi Amani na kusikiliza mamlaka, si damu zenu na damu za wasio na hatia kama watoto zitanusurika?
Lakini nyinyi mlipanga kufanya fujo na mapinduzi zikamwagika damu za wenzenu na damu za watu wengi wasio na hatia yoyote.
Kuweni na subra, tulieni.
Mimi nacho jua yupo ughaibuni nchi Sito itaja.Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi.
Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.
Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka hiyo safehouse. Walahi mwambieni hima ahame.
Maana ndani ya wiki hii hatutaki kusikia breaking news. Na bado
Refer uzii wa kumu alert mzee CLEMENCE MWANDAMBOHuyu jamaa huwa ni mkweli
Huyu mwanamke anaye tutawala kwasasa ni muislamu huoni kama tyr kavunja Sheria za uislamu makusudi?Kama Muislamu tupe suggestions unataka utawaliwe na nani ?
Tusomeni dini yetu tusifuate mkumbo , kabla ya kwenda suala la kuongozwa na Mwanamke hivi haujui kuwa tunaongozwa Kidemokrasia ?
Uislamu unasemaje kuhusu uongozi wa Kidemokrasia ambao unaongozwa na matamanio ya Wanadamu ambao unaruhusu Pombe , miziki , kamari , ushoga na wanaweza kuweka chochote haramu na kukataza halali ilimradi tu watu wengi wachague na katiba iruhusu ?
Je , ukimtoa Mama utaweka Sharia Law na hakutakuwa na mfumo wa KiDemokrasia tena ambao ni mfumo wa Kishetani ?
Kuongozwa na Mwanamke si sawa Kiislamu vipi kuhusu kuongozwa na Kafiri ?
Je , Uislamu unaelekeza vipi kama ukitawaliwa na kiongozi Mwanamke ufanye Nini ?
Kumbuka sa100 sasa ni kapewa urais!
Kabla ya hapo kagombea urais na wanazuoni wengi wa kiislamu walimuunga mkono huoni Hilo ni tatizo kwa nyie viongozi wa dini?
Kama huyu kiongozi sa100 kaweza kukiuka Sheria ya Mungu kupitia maandiko matakatifu Quran je atashindwa vipi kuivunja katiba na kufanya vitu vya hovyo kama kuuwa wanadamu wenzake? Atashindwa vipi
Halafu Leo wapuuzi Fulani hv wanaojiita wanazuoni wa kiislamu wanataka amani wakati kiongozi mkuu wa nchi tayar kavunja msingi mkuu wa uongozi katika dini. Na bado wanampamba kwa maneno mazuri nakumuombea Dua kwa Allah,ambaye ameshadharau amri zake!
Nyie mnaojiita mashekh mnamatatizo vichwani.
Lazima uwe vizuri mfukoni.Mi ningekuwa mwanaharakati ningekuwa nakaa mikoa ya karibu na kutorokea nchi jirani, nyumba yangu ingekuwa na bunker natega camera main umbali wa mita 100 tokea uelekeo wa kwangu sehem ya kufanya harakati zangu inakuwa nje ya nyumba wakinifikia naingia ktk bunker la siri kama kuna escape naosha
Mi ningekuwa mwanaharakati ningekuwa nakaa mikoa ya karibu na kutorokea nchi jirani, nyumba yangu ingekuwa na bunker natega camera main umbali wa mita 100 tokea uelekeo wa kwangu sehem ya kufanya harakati zangu inakuwa nje ya nyumba wakinifikia naingia ktk bunker la siri kama kuna escape naosha